Mtindo mpya wa mademu wa facebook

Kwani mkiachana mnaombeana njaa!!! I used to pray for their betterness, and felt somehow guilty when their things went wrongs..
 
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..

WHY DO THEY DO THIS?

Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.

Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "

Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.

Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"

Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.

Tatizo ni kuwa wengi waliopo facebook hawajui maana ya hyo Open relationship,, wengi wanajifanya wajuaji wakati wanajiaribia sifa na kuonekana wa hovyo zaidi.
 
Dah facebook huwa kuna Visa sana kule,
Hivi kweli mtu na akili zako unakwenda kutongoza mwanamke fcbk na unaaminisha kabisa ndio wako wa maisha?
Kutongoza fcbk ni sawa na kutongoza gizani,wanawake wa fcbk wanawapeleka sana mbio wanaume kwa sbb ya hashuo zao wanaume na kuwashobokea watoto wa kike,
Natumia fcbk 4 yrs sasa,sijawahi kuwa na dem fcbk wala sina mpango huo kabisa,ikiwa wewe unamuona kwenye picha unadhani hapo mtaani anapoishi hakuna wanaume waliomuona?
 
Wengi hupenda kuweka nyuso zao na kushare na ndugu, jamaa na marafiki matukio mbali mbali katika maisha yao ya kila siku. Kupeana habari mbali mbali na kubadilishana mawazo na kujadiliana kuhusu matukio mbali mbali duniani.

Kumbe ndio maana huwa sipati friends kwenye uso wa sura kwa kuwa sijaweka picha ya ku-share na watu wengine
 
Tatizo ni kuwa wengi waliopo facebook hawajui maana ya hyo Open relationship,, wengi wanajifanya wajuaji wakati wanajiaribia sifa na kuonekana wa hovyo zaidi.
Kiingereza cha MEMKWA, wengi wanadhani tafsiri yake ni uhusiano wa wazi, Majanga.
 
Wengi hupenda kuweka nyuso zao na kushare na ndugu, jamaa na marafiki matukio mbali mbali katika maisha yao ya kila siku. Kupeana habari mbali mbali na kubadilishana mawazo na kujadiliana kuhusu matukio mbali mbali duniani.

Kwa fb haina maana yoyote na ndio maana nili deactivate account yangu, unakuta post, nimewamiss ma friends wangu or neanda zangu mwanza, or mtu ana-share picha yuko aiport mbele ya precision air au ndani ya basi au analima yaani ni upuzi uliokithiri. Nafikiri kuna watu wachacche sana wanaotumia fb kwa faida but most of the time fb is boring
 
Tatizo ni kuwa wengi waliopo facebook hawajui maana ya hyo Open relationship,, wengi wanajifanya wajuaji wakati wanajiaribia sifa na kuonekana wa hovyo zaidi.

Sasa wewe kinakuuma nini ?ulipommwaga hukujua wapo wenye njaa wanahitaji? Kijungu umeshindwa kukitumia unakipikia kuni na kukitia moshi ,acha wenye gesi wakipakue ndo ukome

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
usiniguse Nadhani hujanielewa vizuri au kama sikosei na wewe ni mmoja kati ya wale wasioelewa maana ya Open relationship, uwe na usiku mwema
 
Back
Top Bottom