Mtindo mpya wa mademu wa facebook

Mtindo mpya wa mademu wa facebook

Kama ni mi cjisimbui sana! Nachokifanya nina log out! Nafungua accaunt nyingine!!
 
Kaazi kweli kweli . Ndio maendeleo hayo na uhuru wa kujieleza sasa inabidi mvumiliane tu ukiona ameweka hivyo kama kukuonyeshea na wewe muonyeshee . Kwanza najiuliza kwanini wewe unaekerwa na hicho unachoona usiblock au inakua haiwezekani.
 
mkuu hiyo ni kweli kabisa, ukweli ni kuwa unamuonyesha ex wako wewe ni malaya kiasi gani, isitoshe wanaume wengi hatuumizwi kwa style hiyo
 
pole kwa yaliyokukuta mkuu, kama mmemwagana kwanini we humblock? au bado unampenda ndo maana unaendelea kuangalia post zake. pole yako.
 
Me sijawahi kutundika tu boyfriend kwenye timeline yangu.nimekuja kumuweka husband.ukiweka utaweka wangapi looo
 
Hivi bado kuna watu hadi leo wapo fb? Sitowashangaa km ni upcoming, teenegas na wanachuo.
Kweli nimeamini kuna watu wakishaLog out fb wanaLog inn jamii forum, that why huwa tunakutana na comments au thread za ajabu ajabu mpaka unajiuliza.
 
sijui jina tatizo gani kila siku lazima nitembelee wall ya x wangu siku akiweka picha ya mwanamke sijui nitafia wapi...ila simtaki tena he was worse....hafai am happy with my sweet baby ila roho inauma

wivu tu mwenzako anafaidi sema hana mambo ya kiswahili ya kukuumiza
 
Mimi si mtaalamu wa mahesabu lakini 75 + 50 = 125.
Sasa sijui ni hesabu za wapi hizi au labda mimi ndio sielewi asilimia inapatikanaje!
Hahahahaha, kweli wewe sio mtaalam wa hesabu!
25% are between 20 and 35, and 50% are under 20. Ukijumlisha unapata 75% under 55.
50 na 75 are not cumulative, maana walio under 20 wapo ndani ya walio under 35. Umeelewa kaka yangu?
 
Nimedeclare mapema mimi si mahiri kwenye upande wa Mathematics, ila asante kwa ufafanuzi na mimi umenipa shule ya bure na Elimu wala haina mwisho.

Nature ya Profesional yangu haikunilazimu sana kujikita kwenye Mathematics, ni kama unavyoona Muhindi yeye kwake ni Computer, English na Commerce tu, na ndio style yangu pia, nilidrop siku nyingi masomo yasiyo na tija kwangu.
 
I guess I should have said 75% are under 35 OUT OF WHICH 50% are under 20. It would have been less confusing. Hizi ztats nimezipata toka presentation ya Ndugu J. Makamba kwenye presentation yake ya Youth and leadership in the last CCM council. 🙂
 
NGOZI NYEUSi TUNA MATATIZO KAMA SIO LAANA. Hatupendi kutumia mitandao kwa manufaA.....
 
Ah, wapi? Kwa uzoefu wangu na hiyo face 1,000 wadada wengi wana sura nzuri kaatika facebook. wakati ni wabaya sanaaaaa ukikutana nao. nimeshafanya sample kadhaa. Kuhususu kukomoana, sasa hilo kwa kweli sio jambo nzuri, kwanza, kwa mtazamo wangu, as a scociologist please note that, overconcntration on psoting different facial expression, mara nusu uchi, mara maziwa nje nje, mara kageuze bodi, mara pozi gani sijui, Synbolically there is there the implication prostitution history or existing prostitute personality. I can question is that face book or body book?
 
Back
Top Bottom