Moudy Boka
Senior Member
- Jan 14, 2012
- 103
- 32
Facebook ni nini???
Uso wa kitabu!
Facebook ni nini???
sijui jina tatizo gani kila siku lazima nitembelee wall ya x wangu siku akiweka picha ya mwanamke sijui nitafia wapi...ila simtaki tena he was worse....hafai am happy with my sweet baby ila roho inauma
Wengi hupenda kuweka nyuso zao na kushare na ndugu, jamaa na marafiki matukio mbali mbali katika maisha yao ya kila siku. Kupeana habari mbali mbali na kubadilishana mawazo na kujadiliana kuhusu matukio mbali mbali duniani.
should be kitabu cha uso.Uso wa kitabu!
Wanaume makini huwa hatuna muda wa kujishauwa Facebook, we are there just connecting people na siyo photo show.sijui jina tatizo gani kila siku lazima nitembelee wall ya x wangu siku akiweka picha ya mwanamke sijui nitafia wapi...ila simtaki tena he was worse....hafai am happy with my sweet baby ila roho inauma
sijui jina tatizo gani kila siku lazima nitembelee wall ya x wangu siku akiweka picha ya mwanamke sijui nitafia wapi...ila simtaki tena he was worse....hafai am happy with my sweet baby ila roho inauma
hata hajui kama nipo fb maskinisweety baby wako anafahamu hili?
kumuacha nimuache mimi kuumia niumie mimipolee!
hata hajui kama nipo fb maskini
kuacha niache mimi kuumia niumie mimi...majangaaaafadhali aseeeeh!!!!!!!! inaumaga aseeeeh.
Facebook ni nini???
tune aljazeera hapo uone wanavomuongelea obama na kenyaWanaume makini huwa hatuna muda wa kujishauwa Facebook, we are there just connecting people na siyo photo show.
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..
WHY DO THEY DO THIS?
Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.
Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "
Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.
Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"
Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.