asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,030
kuacha niache mimi kuumia niumie mimi...majangaaa
nop! huyo swty baby wako akijua kuwa unatembeleaga profile ya x wako na unaweza kuumia ukikutana na tukio.
kuacha niache mimi kuumia niumie mimi...majangaaa
Kama ni hivyo pia elewa hapa siyo facebook. Ningekushauri ukaiposti huko huko facebook
Nakushukuru!
Inabidi tuongee vizuri douta...
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..
WHY DO THEY DO THIS?
Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.
Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "
Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.
Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"
Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.
Daddy namshukuru huyo aliyecomment hapo...
Wengi hupenda kuweka nyuso zao na kushare na ndugu, jamaa na marafiki matukio mbali mbali katika maisha yao ya kila siku. Kupeana habari mbali mbali na kubadilishana mawazo na kujadiliana kuhusu matukio mbali mbali duniani.
Kiingereza cha MEMKWA, wengi wanadhani tafsiri yake ni uhusiano wa wazi, Majanga.Tatizo ni kuwa wengi waliopo facebook hawajui maana ya hyo Open relationship,, wengi wanajifanya wajuaji wakati wanajiaribia sifa na kuonekana wa hovyo zaidi.
Facebook ni nini???
ni sehemu ya kukutaniana wanafunzi wa sec, chuo na wazaramo walioendelea..
Wengi hupenda kuweka nyuso zao na kushare na ndugu, jamaa na marafiki matukio mbali mbali katika maisha yao ya kila siku. Kupeana habari mbali mbali na kubadilishana mawazo na kujadiliana kuhusu matukio mbali mbali duniani.
Tatizo ni kuwa wengi waliopo facebook hawajui maana ya hyo Open relationship,, wengi wanajifanya wajuaji wakati wanajiaribia sifa na kuonekana wa hovyo zaidi.
Sasa wewe kinakuuma nini ?ulipommwaga hukujua wapo wenye njaa wanahitaji? Kijungu umeshindwa kukitumia unakipikia kuni na kukitia moshi ,acha wenye gesi wakipakue ndo ukome
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Kama ni hivyo pia elewa hapa siyo facebook. Ningekushauri ukaiposti huko huko facebook
you are too old for that....tuachie wenyeweee tupatane fb tutemane umo umoooooNikipata muda nami nitajiunga nione fb inamzuka gani?