Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Mengi ni Chadema.
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.
Lete ushahidi wa kugawa vipeperushi na kama ni kweli chadema nao hufanya mchezo huo nipigwe Ban ya siku mbili lakini ushahidi wa CUF kugawa mimi mwenyewe nirishuhudia msikiti wa bondeni na nilianzisha thread ya uozo huo....Mkuu mimi huingia Msikitini na kanisani najua CUF inavyo utumia uislamu kujipandisha chati...Kwani sisi cdm mbona tunagawa vipeperushi makanisani halafu hamsemi? tatizo ni lenu sio letu.
Chama cha kidini ni chadema. Niambie ni chama gani kinachofadhiliwa na kanisa kama sio chadema. Chadema kinafadhiliwa na kanisa la ujerumani.
Lete ushahidi wa kugawa vipeperushi na kama ni kweli chadema nao hufanya mchezo huo nipigwe Ban ya siku mbili lakini ushahidi wa CUF kugawa mimi mwenyewe nirishuhudia msikiti wa bondeni na nilianzisha thread ya uozo huo....Mkuu mimi huingia Msikitini na kanisani najua CUF inavyo utumia uislamu kujipandisha chati...
Mengi ni Chadema.
Chama cha kidini ni chadema. Niambie ni chama gani kinachofadhiliwa na kanisa kama sio chadema. Chadema kinafadhiliwa na kanisa la ujerumani.
chama cha kufa na kuzikanaCUF ndio nini?