Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.
USIITE CUF Inaitwa ccm b.mbona hata hizo money za mikutano wamemegewa kutoka fuko la serikali.wao ni legelege tu, mbona CHADEMA nyomi yake huwa ni uwanja mzima mpaka kwenye miti juu watu wanajaa.sasa ukitegemea kusomba watu kwa malori kutoka DAR wajaza uwanja? kwa ulalamishi huo tu wewe ni mzanzibar hamkosi lawama nyie.
 
Tumieni Adobe Photoshop kuedit picha ilimuweke kwenye magazeti kuonyesha nyomi Kama wanavyofanya mume wenu ccm
 
Cuf ni chama cha siasa ambacho kilichajifia siku nyingi sana na wala usitafute mchawi!
 
Ni kweli kuwa CUF ni chama chakidini zaidi ya chama kingine chochote papa Tanzania na kinafuatiwa na CCM. Ukitaka Unakumbuka Jusa wa CUF alisema nini mara baada ya chama chake hicho cha udini kupigwa chini na CCM na Chadema kwenye uchaguzi mdogo wa kijijimbo kimoja huko Unguja? Alisema kuwa CUF walianguka vibaya mpapa wakawa nafasi ya tatu nyuma ya CCM na Chadema kwasababu kijijimbo hicho (nasema kijijimbo kwasababu idadi ya wapiga kura hawafiki hata 10,000) kinawakazi wengi ambao ni wakristo na wengi wao wanaasili ya Tanganyika. Harafu, kama utakumbuka vizuri, ndani ya Chadema, ni Zitto tu aliyepata kukubariana na kauli ya JK mara baada ya kuzindua Bunge baada ya ushindi wake wenye utata wa 2010 kuwa kweli uchaguzi uliacha nyufa za udini. Zitto hakusema kuwa kwa Chadema ni yeye tu aliyepata kuona hilo la udini na alisema ya kuwa ni kwasababu yeye ni Muislam? Pamoja na yote, hakuna hata mmoja kati ya CCM na CCMB aliyepa kusema kuwa udini wote huo ni wao waliokuwa wanaukuza wakiwa na nia ya kumdhoofisha Dr Slaa na kuwa hakuna Kanisa lililozungumza udini ila Misikiti iligeuzwa majukwaa ya siasa. Hiyo ndio CUF bwana a.k.a. CCMB

pokea lipumba wana hawakuja kwenye mikutano..safi sana waislam wa arusha[/QUOTE]
 
Caf na machaka mchaka yenu vip mmechoka mapema kwa mwendo huo uchaguzi wa 2015 mtachika nafasi ya tatu nyuma ya c c m
 
kwani ni lazima waoneshe umati uliofurika hapo kwenye mkutano? wao si ndo wanaamua nini cha kuonyesha na nini kisionyeshwe after all kwani iyv ndo chombo pekee kinachotoa taarifa
likewise ikitokea ya kuwa wameonyesha umati wa watu waliofurika hapo uwanjani ni sifa gani mnazozipata
maoni yangu: Ongeeni matagtizo yanayowakumba wananchi na siyo umati wa watu kwani hauna maana yeyote katika kutatua matatizo ya wananchi
pia hii inaonyesha ni jinsi gani hiki chama kilivyo kibinafsi kwani kinataka picha zake zionyeshwe ili kiwaaminishe wananchi ya kuwa kinapendwa na watanzania kumbe hakuna lolote
ijulikane tu ya kuwa cuf siyo tena chama cha upinzani
 
...mleta mada, ITV sio TBC. ITV wanaonesha kilichotokea, TBC wanaonesha unachotakiwa kukiamini, so kwa hoja yako TBC itafaa zaidi.

TBC si ndo TV yenu wewe na mumeo MAGAMBA? sasa walia'ni?
 
cuf cuuf cuuufffffff.
kama mlivodanganya arusha kwa kubeba watu mnataka ITV nao wadanganye umma kwa maslahi yenu?
kwenye matangazo yao wanakuambia na mchumi wa dunia aliyebobea atakuwepo prof lipumba!
 
ITV walichukua picha ya wakazi wa Arusha,wale walioletwa nao watachukuliwa wakirudi maeneo yao.
 
CUF msijisikie unyonge ccm na chadema nao wakija pemba wataipata fresh! Watabaki wameduwaa na miziki yao, hamna mtu wa kuwasikiliza!
 
..........hivi itv inamilikiwa na nani? Hivi mengi ni mchaga? Hivi mengi anatokea mkoa gani? Nikipata majibu hayo naweza jadili mada hii?..............
 
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.

Mmiliki wa kituo cha ITV anatokea upande upi wa Tanzania?
 
mkuu TV haina uwezo wa kuongeza idadi ya watu waliohudhuria mkutano wenu mbona ITV WALIJITAHIDI SAANA na zile picha za mlimani zilikuwa ni za maktaba za mikutano ya chama chenu mwaka2009 tofautisha picha ya maktaba na live picture halafu FAHAMU SI NI GAZETI LENU KAKA UNATEGEMEA LIFANYEJE
 
Back
Top Bottom