Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

Jaman kwan Itv imeanza ln na vp kuhusu mafanikio yake me nafikir yapo juu kushinda ya Cuf...kingine kma isinge kuwa itv tusingekuwa tunayajua makorokocho ya ccm
 
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.

nshajua unako elekea PROP.... kwenye red, gazeti gani hiyo hapa tz....? ina reputation gani? na Mlimani TV kawaida yao kuonesha picha za maktaba hao wasikupofushe!
picha uoneshwa kulingana na mada inayoongelewa, mkutano wa viongozi wa CUF unatakaka waoneshwe machinga? hacha siasa hizo....
 
Kwani sisi cdm mbona tunagawa vipeperushi makanisani halafu hamsemi? tatizo ni lenu sio letu.
Lete ushahidi wa kugawa vipeperushi na kama ni kweli chadema nao hufanya mchezo huo nipigwe Ban ya siku mbili lakini ushahidi wa CUF kugawa mimi mwenyewe nirishuhudia msikiti wa bondeni na nilianzisha thread ya uozo huo....Mkuu mimi huingia Msikitini na kanisani najua CUF inavyo utumia uislamu kujipandisha chati...
 
Chama cha kidini ni chadema. Niambie ni chama gani kinachofadhiliwa na kanisa kama sio chadema. Chadema kinafadhiliwa na kanisa la ujerumani.
 
Chama cha kidini ni chadema. Niambie ni chama gani kinachofadhiliwa na kanisa kama sio chadema. Chadema kinafadhiliwa na kanisa la ujerumani.

ww sikushangai kwani jina tu linajionesha kwamba ni mcheza karatee na kutwa kukesha kwenye kahawa na mihadhara, yebo kwako ndio moka, ...........

Soma ww acha ujinga huo.
 
Lete ushahidi wa kugawa vipeperushi na kama ni kweli chadema nao hufanya mchezo huo nipigwe Ban ya siku mbili lakini ushahidi wa CUF kugawa mimi mwenyewe nirishuhudia msikiti wa bondeni na nilianzisha thread ya uozo huo....Mkuu mimi huingia Msikitini na kanisani najua CUF inavyo utumia uislamu kujipandisha chati...

Pole CUF
 
hiki ni chama au kampuni.
jana lipumba anatangaza kuwa akichaguliwa atamtumia ndesahela,na juma duni akasema wanahitaji mtu anaekubalika duniani.
sasa swali ni je lipumba amepitishwa lini na chama chake kugombea urais.
je yeye ndo cuf na cuf ni yeye.
je kama anajulikana duniani ukatibu mkuu wa umoja wa mataifa si ndo utamfaa.
 
Itakuwa vigumu sana kuiondoa CCM madarakani,badala ya watu kukaa kufikiri jinsi ya kuunganisha nguvu kuondoa CCM badala yake ni kila mtu kujiona yeye ndio bora!
 
Chama cha kidini ni chadema. Niambie ni chama gani kinachofadhiliwa na kanisa kama sio chadema. Chadema kinafadhiliwa na kanisa la ujerumani.

Tanzania na kwenye kakisiwa jumla kuna marais na ma-makamu watano na wote waislam!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom