Siwezi Nikapita Wakati Nimeona Post Ya KIPOPOMA Kama Ile Yako.
Endelea kupita
Siwezi Nikapita Wakati Nimeona Post Ya KIPOPOMA Kama Ile Yako.
Hata alipofungwa alishinda kesi?Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Andrew Nyerere ukipata nafasi naomba umwambie Manyerere Jackton namtafuta!Kukwepa kodi,hiyo no kazi ya TRA. Mtikila aishtaki TRA kwa kushindwa kumkamata Lowassa. Mtikila Ana matatizo ya akili nasikia. Siyo tu nasikia,nimeshuhudia katika mikutano yake. Faulty reasoning. Anaongea normally,halafu kila baada ya PRECISELY ten minutes anaongea nonsense.
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Nakushukuru Sana Mkuu Kwa Kuliweka Hili Sawa Na Kumwambia Ukweli Wake Huyo Andrew Nyerere Kwani Kwa Tunaomjua Tumeshamsamehe Ila Ana Matatizo Makubwa Mno Na Mengi Yake Yameanzia Katika Kizazi Cha Koo. Nimesikitika Mno Kwa Comment Yake Ile. Nawaombeni Jamani Tumsamehe Tu Andrew Nyerere!
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Wewe nawe kwa kujifanya mjuwaji hadi unakera!
Kwani wale wnzake walilipa kodi? kwani kutia nia kugombea ni biashara ulipie kodi TRA? anatumiwa vibaya huyu.
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Je ccm pesa iliyopata kwa kuuza form kwa wagon beta urais ililipa kodi ya mapato?
Njaa imeanza kumtafuna mtikila.
Anatafuta backup ya akina MEMBE
hapa hapati mil 3,za Burr NGO!
mmemzoesha vibaya sanaaa!!
Wakati mwingine unatakiwa utumie akili zako bila kuambiwa na mtu mwingine. Mliwakamata wangapi wakitoa au kupokea rushwa kutoka kwa EL au washirika wao? Mchungaji ameshachoka anatafuta kick katika siasa
Hivi kile chama chake kiko hai au alikiua?