Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi

Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi

This is too much, it's an assault pal, sio kila post lazima uchangie - kila la heri

Mkuu vipi mbona unarusha ngumi hewani?tulia hiyo ndio jf
 
Wewe Liziborn una kumbukumbu sahihi kweli au unaongozwa zaidi na mapenzi ya upande fikiria tena

Mkuu nakushauri husipoteze kuumiza akili zako kwa kubishana na makondooo
 
Nakumbuka mwaka ule alivyomchafua Rostamu kuwa fisadi alivyochangia kwaya kinondOni (miezi mitatu tu tangu na yeye avute mil 3 kutoka kwake), kumbe jamaa ana karatasi ambayo Mtikila alisaini, akaitoa kwa waandishi wa habari. Alivyoonyeshwa na kubanwa kuwa mbona na yeye alichukua akidai ni za kanisa akaanza kubabaika ... "Hebu... inawezekana ni saini yangu... lakini ni deni nitalilipa..." alivyobanwa kwa nini amechukua fedha za fisadi akaanza... "Lakini hizi ni fedha zetu jamani ni Za watanzania...." Tangu wakati huo namuona kama COMEDIAN tu.
 
Nadhani ni muda muafaka wa kumshtaki pia huyu mchungaji kwa kutumia ovyo muda na mamlaka ya mahakama.Alikuwa wapi siku zoote??

Huyo ashawaona ccm kuwa wamechanganyikiwa hivyo hata akisema wampatie 5 billion ili aisumbue cdm watampatia na kusahau kuwa anajitafutia njia ya kurejea tena ukonga
 
Shoga lile..pumbavu hayawani likauze tigo kwa waumini wake..hatutaki najisi sie..yeye na vijana wake lizaboni.wote wauza takoshili
 
Usiyempenda Kaja Na Ukiona Nayajua Mengi Basi Ujue Kuwa Pia Nina Uwezo Mkubwa Wa AKILI Na Wa Kufahamu MAMBO Kuliko Wewe Na Mnavyozidi Kunichukia Ndiyo Mnaniweka Tu Juu Kama Lowassa Na Diamond Platinumz.

Mkuu na mtikila kamshitaki Kagame kwa kumpa hela lowasa..twende tumsindikize teh teh
 
Harakati zenu za kumnadi Magufuli zimefikia wapi?, mbona kama kashafifia vibaya sana wakati hata kampeni haijaanza.... Na kampeni zikianza msahau kabisa jina la Magufuli, utakuwa ni moto wa hatari...

Maccm ndiyo yataanza rasmi kuokota makopo barabarani
 
Attachments

  • 1438421654513.jpg
    1438421654513.jpg
    51 KB · Views: 103
Mtikila ni political opportunist....! Na kilichokuja kufanya ajulikane ni LIBERTY DESK...kipindi kile cha Mwinyi...! Baada ya LIBERTY DESK kumpiga chini kutokana na ile ishu ya kukoswakoswa kukamatwa na briefcase iliyokuwa na sensitive documents mitaa ya posta, nguvu na umaarufu wake vilipungua sana

Jamaa unatisha kwa kumbukumbu
 
Nakumbuka mwaka ule alivyomchafua Rostamu kuwa fisadi alivyochangia kwaya kinondOni (miezi mitatu tu tangu na yeye avute mil 3 kutoka kwake), kumbe jamaa ana karatasi ambayo Mtikila alisaini, akaitoa kwa waandishi wa habari. Alivyoonyeshwa na kubanwa kuwa mbona na yeye alichukua akidai ni za kanisa akaanza kubabaika ... "Hebu... inawezekana ni saini yangu... lakini ni deni nitalilipa..." alivyobanwa kwa nini amechukua fedha za fisadi akaanza... "Lakini hizi ni fedha zetu jamani ni Za watanzania...." Tangu wakati huo namuona kama COMEDIAN tu.

Ni zaidi ya kingueduu
 
Anatumika Vibaya uyo Mtikila.Muulizeni analipwa Sh.ngap akishafanya Ivyo.Na uchungaji wake wa uongo
 
Back
Top Bottom