Dumbuya
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 596
- 881
Mchungaji ameanza vituko.
Amesema anaandaa wanasheria wake kumshitaki Lowasa na atakayekuwa mgombea mwenza wake.
Mtikila ameeleza kuwa Mh.Lowasa hakulipa kodi wakati wa kutia nia CCM, kodi hii ilitakiwa ilipwe kati ya hela alizokuwa akigawa wakati wa kutia nia..
Haya ni maneno ya Mtikila
Nadhani ni muda muafaka wa kumshtaki pia huyu mchungaji kwa kutumia ovyo muda na mamlaka ya mahakama.Alikuwa wapi siku zoote??