Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi

Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,188
Reaction score
138,489
Mchungaji ameanza vituko.

Amesema anaandaa wanasheria wake kumshitaki Lowasa na atakayekuwa mgombea mwenza wake.

Mtikila ameeleza kuwa Mh.Lowasa hakulipa kodi wakati wa kutia nia CCM, kodi hii ilitakiwa ilipwe kati ya hela alizokuwa akigawa wakati wa kutia nia..

Haya ni maneno ya Mtikila
 
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
 
Huyo ni layman....asitutishe...awahi mahakamani haraka...sisi tutakuja...maana naona amesahau ya TARIME.

Kwan membe alilipa kodi?
 
Kwani wale wnzake walilipa kodi? kwani kutia nia kugombea ni biashara ulipie kodi TRA? anatumiwa vibaya huyu.
 
Kukwepa kodi,hiyo no kazi ya TRA. Mtikila aishtaki TRA kwa kushindwa kumkamata Lowassa. Mtikila Ana matatizo ya akili nasikia. Siyo tu nasikia,nimeshuhudia katika mikutano yake. Faulty reasoning. Anaongea normally,halafu kila baada ya PRECISELY ten minutes anaongea nonsense.

I think the man has got mental problem.

Totally abnormal priest.
 
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Mkuu nakushauri kwa Mara nyingine why usikae kimya?Nani mwenye mamlaka ya kukusanya kodi nchi hii?mkuu suppose mtikila ashinde kesi,huoni kama hii ni aibu kwa serikali kuliko Lowasa ?about ufisadi ni kosa la jinai,unataka kutuaminisha Kuwa serikali ya ccm ina sheria tofauti yaani mwizi wa kuku anashitakiwa na kufungwa na mafisadi sheria inawaruhusu kugombea urais.shame on you and ccm
 
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Hayo ni kwa upande wa kushoto,upande mwingine Mtikila amesema kuwa utaratatibu wa kwenda mahakamani kuweka pingamizi kwa wagombea wa ccm upo pale pale,amedai sababu ya pingamizi ni kuanza kampeni kabla ya muda ulioruhusiwa kisheria,amesema ushahidi upo wa kutosha kutoka ndani na nje ya ccm yenyewe
 
heee! kwan wale wnzake walilipa kodi? kwan kutia nia kugombea ni biashara ulipie kodi TRA? anatumiwa vbaya huyu
Je ccm pesa iliyopata kwa kuuza form kwa wagon beta urais ililipa kodi ya mapato?
 
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa

Itakuwa wewe si mfuatiliaji mzuri, hebu tukumbushe maamuzi ya mahakama ya rufani kuhusu mgombea binafsi!
 
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa

Wakati mwingine unatakiwa utumie akili zako bila kuambiwa na mtu mwingine. Mliwakamata wangapi wakitoa au kupokea rushwa kutoka kwa EL au washirika wao? Mchungaji ameshachoka anatafuta kick katika siasa
 
Njaa imeanza kumtafuna mtikila.

Anatafuta backup ya akina MEMBE
 
Back
Top Bottom