Oookey!! Hivi na ile ya mgombea binafsi ilikuaje?
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Jamaa unatisha kwa kumbukumbu
Mtikila karibu tarime upate ngeo nyingine huku hatukopeshi walopokaji kama wewe.
Siku ya hilo tukio nilikuwa maeneo hayo jamaa wa LIBERTY DESK walifanya chenchi kota ya briefcase kimafia hasa maeneo ya IPS, wakachukua briefcase yenye nyaraka nyeti na kumpa Mtikila kanyaboya....! Ile kutokea tu Askari monument usalama wakamdaka Mtikila kuja kumsachi briefcase lilikuwa na magazeti na mafaili yasiyo na chochote
Siasa kweli ni ngumu kuzielewa! You can't tell who is serious and a nonsense! Watu wetu wote wa jamiiforums ambao tulikuwa tukiwategemea kwa michango ya maana pamoja na U-CCM au U-CHADEMA wao, wote wamejitoa ufahamu and can support nonsense or question the obvious.
Anatumika Vibaya uyo Mtikila.Muulizeni analipwa Sh.ngap akishafanya Ivyo.Na uchungaji wake wa uongo
Mchungaji ameanza vituko.
Amesema anaandaa wanasheria wake kumshitaki Lowasa na atakayekuwa mgombea mwenza wake.
Mtikila ameeleza kuwa Mh.Lowasa hakulipa kodi wakati wa kutia nia CCM, kodi hii ilitakiwa ilipwe kati ya hela alizokuwa akigawa wakati wa kutia nia..
Haya ni maneno ya Mtikila
Mkuu unamuogopa nini lizaboni kumwambia moja kwa moja?
Mkuu sio lizaboni pekee bali imekuwa jamvi la wendawazimu badala ya great thinkers! Keep away ushabiki wa vyama ambao sina matatizo nao ila kujitoa ufahamu bila hata chembe ya aibu kwa watu tunaowaheshimu jamvini. Nitaanza kutoa jina moja moja na michango Yao kwa kuthibitisha ninayosema