Je ccm pesa iliyopata kwa kuuza form kwa wagon beta urais ililipa kodi ya mapato?
eheee!! hapo sasa! wanaotakiwa kulipa kod ni ccm
Je ccm pesa iliyopata kwa kuuza form kwa wagon beta urais ililipa kodi ya mapato?
Kukwepa kodi,hiyo no kazi ya TRA. Mtikila aishtaki TRA kwa kushindwa kumkamata Lowassa. Mtikila Ana matatizo ya akili nasikia. Siyo tu nasikia,nimeshuhudia katika mikutano yake. Faulty reasoning. Anaongea normally,halafu kila baada ya PRECISELY ten minutes anaongea nonsense.
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Mkuu sijakuona ukiwapa hongera PCCB kwa kuwadaka Nape,Kilango,mwigulu,mama sita kwa rushwaMtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Mchungaji ameanza vituko.Amesema anaandaa wanasheria wake kumshitaki Lowasa na atakayekuwa mgombea mwenza wake.Mtikila ameeleza kuwa Mh.Lowasa hakulipa kodi wakati wa kutia nia CCM,kodi hii ilitakiwa ilipwe kati ya hela alizokuwa akigawa wakati wa kutia nia..haya ni maneno ya Mtikila
This is too much, it's an assault pal, sio kila post lazima uchangie - kila la heriMtikila hana tofauti na Ndugu yako Makongoro Nyerere na wewe pia mpo kwenye kundi la kupeleka mirembe
Mchungaji ameanza vituko.Amesema anaandaa wanasheria wake kumshitaki Lowasa na atakayekuwa mgombea mwenza wake.Mtikila ameeleza kuwa Mh.Lowasa hakulipa kodi wakati wa kutia nia CCM,kodi hii ilitakiwa ilipwe kati ya hela alizokuwa akigawa wakati wa kutia nia..haya ni maneno ya Mtikila
kipo kanisani kwake.Hivi kile chama chake kiko hai au alikiua?
Huyo ni layman....asitutishe...awahi mahakamani haraka...sisi tutakuja...maana naona amesahau ya TARIME.
Kwan membe alilipa kodi?