...aaahhh? siku hizi hakuna cha wa'wake wala wa'ume bana, ukipewa zawadi jua umetwishwa deni...!
yaani Lizzy utakubali upewe zawadi bure bure tu? hahaha....
...halafu kuna wengine akikupa zawadi siku ya valentine, unakumbushiwa kuilipa siku ya pasaka, siku ya iddi, na krismasi....! never ending aisee...
Lolzzz. . . .Hiyo ya kusindikizana pasipo kikomo imenikumbusha mbali sana...enzi za sekondari. Kuna mshikaji alikuwa anafukuzia (sitasema lile jina usolipenda la d...mu) msichana flani hivi.
Walikuwa kila wakitoka twisheni wanasindikizana...wakifika kwa mmoja yule aliyefika kwao anamsindikiza tena mwenzake....lol.
...Kila la heri Mkuu mie nimeshamaliza "kulipa deni" la zawadi nilizozipata 🙂🙂....Si unajua vya mchina bei poa kabisa 🙂🙂...Siku ndiyo zinayoyoma hivyo Mkuu na kesho na kesho kutwa umati utakaokutana nao katika shopping za "lala salama" unaweza kujuta.
That's rather childish. . . .Sasa kuna wale ambao usipowapa zawadi (wakati wao walikupa) watamwambia kila wamjuaye. Yaani haya mazawadi wakati mwingine yanakuwa pasua kichwa.
...nimefarijika sana kusoma sentensi hiyo hapo yenye wekundu, hizi zawadi za siku hizi ni deni bana.,...sasa mimi nimetwishwa hili deni yarabi stara weee....yaani hizi zawadi imekuwa kama tuna "bid" mwenye dau kubwa, arrghhh!
...halafu mtu mwenyewe ningekuwa nimemzowea angalau ingekuwa nafuu kidogo kujibaraguza,...
Sasa kuna wale ambao usipowapa zawadi (wakati wao walikupa) watamwambia kila wamjuaye. Yaani haya mazawadi wakati mwingine yanakuwa pasua kichwa.
Sasa kamanda uliweza kweli kulala kwa utulivu?
Hahahahha kwanini nisikubali Mbu?Mi si mdada bana. . . Lolzz
Ila kusema ukweli mimi mtu akinipa zawadi ambayo mwenyewe siwezi kuafford labda niache kula na kuvaa mwaka mzima sitopokea.Hayo ndio yale madeni yasiyolipika jumla. . . siku ukidaiwa iwe kwa kushikwa shati au kwa maneno mtaani UNALO!!
Hahahahaha. . . alafu hao wanaodai ujue hua wanatoa wakitegemea kupata zaidi ya walichotoa.Ni kama biashara kwao. . . akikupa ya € 5 anategemea wewe upande juu na sio ushuke.
Kama ndiyo hivyo basi mtolee nje tu Mkuu!!! atajiju hahahahahah lol! Ya nini kujibaraguza kwa mtu ambaye hata hujamzoea? 🙂🙂....ahhhh vibaya hivyo!!!!!
Mbu unajua unaweza ukafanya nini??
Kwasababu hamjazoeana (hivyo huoni kama alichokupa unastahili toka kwake) na mfuko hauruhusu kujitoa mhanga kwake. . . chukua hiyo zawadi uifunge upya, nunua na card ya asante + xmass na mwaka mpya, changanya alafu umtumie.
Atajuaje hujamnunulia inayofanana?
hahahahahaha!.....duhhh?
hii itakuwa kama shari vile....dahhh?
ingekuwa wewe nakurudishia zawadi ungejisikiaje?
....lol.....hilo swali nami nimejiuliza kwanini kanitunuku zawadi hii ilhali hata 'hatujazoeana' ki viiile?
yaani maswali yanazidi majibu wallah!...
Mbu bwana, ulianza na Mapenzi sehemu za kazi, sasa umekuja na zawadi!! Duh
Haya wakati naendelea kufikiri cha kukushauri, hebu nitonye umesema zawadi ulopewa ina gharama kama Pound 150, nawe bado hujaifungua! Nakuja.
Mhhhhh!....Hilo varangati litakuwa la patashika nguo kuchanika lol!
Hapajalalika bado hapa, kumi kasoro na kidogo (alfajr) mbu nipo na "kalkuleta"
bajeti haikubali!
[/I]
[/FONT][/SIZE][/COLOR]
....lol.....hilo swali nami nimejiuliza kwanini kanitunuku zawadi hii ilhali hata 'hatujazoeana' ki viiile?
yaani maswali yanazidi majibu wallah!...
Hahahhhh BAK mie namtafutia zawadi ya kumrudishia huyu Rafiki