nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Uchaguzi wa mwaka huu utawashangaza watanzania, afrika mashariki, afrika na dunia nzima. Tuombe uhai na afya njema.Nyalandu was best, Ana hela na Exposure kubwa hata connection Zake huko duniani zinatisha sana Na hizo zote alizipata wakati akiwa waziri wa maliasili, Jamaa ni Predidential material ila kwa vile mmeamua kwenda na TAL basi JPM asubuhi sana anachukua nchi, Msitegemee mwenyekiti wa Saccos aingie mfukoni ku fund kampeni za chama mzigo utarudi kwa wanachama na hao wabunge
Wazo langu kwa sasa Chadema waanze kuchonga mabakuli ya kuombea tu pesa ili waweze ku afford walau kuzunguka mikoa michache.
Mtaona, kile kisichowezeka kitawezekana