Mtifuano Mkutano wa CCM - Dodoma

Mtifuano Mkutano wa CCM - Dodoma

Jambo moja dhahiri huyu ni mkiti na rais dhaifu kuwahi kuongoza ccm na nchi
 
Huyo ndo EL bwana, nani anasema EL siyo jembe? Pambana EL, watanzania wote tupo nyuma yako

Ni ujinga kujumuisha Watanzania wote kwenye kuwa nyuma ya huyo mwizi. I for one am not for him, halafu una-declare kuwa Watanzania wote "wako nyuma yake"! Aliekupa hiyo taarifa ni nani?
Selling yourself cheaply, bora hata changudoa!
 
waacheni wamvue uenyekiti na hata ikibidi na urais pia nawaruhusu wamvue tu. Mie bado nayafikiria mafweza yaliyotunzwa nje ya nchi yetu. Pengine maisha bora yangewezekana bila ya huyu dhaifu.

sio hayo tu, na yote aliyotuibia na kujitajirisha na familia yake humu nchini. Let him go! Hata tu apate hiyo aibu
 
Ni ujinga kujumuisha Watanzania wote kwenye kuwa nyuma ya huyo mwizi. I for one am not for him, halafu una-declare kuwa Watanzania wote "wako nyuma yake"! Aliekupa hiyo taarifa ni nani?
Selling yourself cheaply, bora hata changudoa!
Tatizo wabongo hamjishughulishi katika kufikiria. Ungeuliza wapo nyuma yake wanafanya nini? Huyu ni jembe la kupalilia na kukuza rushwa.
 
Labda nilishawahi kuheshimu sana michango yako kwenye jukwaa hili la siasa!!ila kwa upuuzi ulioandika hapo itabidi nianze kutafuta pa kuihamishia heshima yangu,naanza kuona kuwa hapo ilpo si mahali sahihi,pole mtambuzi!!kumbe wakati mwingine ni mganguzi!!in short hakuna cha maana ulichoandika hapo!!u-dudu mtupu.

Sichangii hoja kufurahisha watu au kutafuta kuungwa mkono na watu, bali nachangia hoja kutokana na mawazo yangu huru, hasa nikisimamia kitu ninachoamini, sasa kama inaonekana ni hoja dhaifu, hilo linajadilika lakini kwa hoja mbadala; natarajia urudi na hoja mbadala juu ya suluhisho kwa suala lililo mbele yetu badala ya kutoa hoja za kulaumu mawazo yangu au kuyashangaa; Vinginevyo mgongano wa mawazo ni sehemu muhimu ya mijadala kama hii;

Nadhani unapenda kuliangalia suala hili kwa wepesi; Ni vizuri ukafahamu kwamba suala hili sio dogo kama unavyopenda kufikiri; Linahitaji busara kuliko jazba; Jaribu kutulia na ufanye a cost-benefit analysis kwa kuweka in the centre the fact kwamba huyu ni Rais wa nchi, sio Rais wa CCM au Chama Cha Soka;

Naendelea kusisitiza kwamba - iwapo wajumbe wa kikao husika watafikia ‘a consensus' kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa, J.K Kikwete ni Dhaifu na ni mzigo kwa Chama, basi kwa kuanzia, watazame kwanini walifikia huko, na iwe ni fundisho kwao kwamba next time wanapochagua mgombea Urais kupitia chama chao, wawe makini zaidi kuchagua mtu ambae atakuwa ni kiongozi bora na sio bora kiongozi; Hakuna mwenyekiti wa chama ambae atapendwa na watu wote katika nyakazi hizi; Kiongozi kuwa dhaifu au kutokuwa dhaifu inatokana na kuungwa au kutoungwa mkono na wenzako, nothing less, nothing more;

Vinginevyo kuanza kuvuruga mambo sasahivi kama unavyoashiria kushauri, just because of mistake iliyofanywa huko nyuma ya kuweka mtu ambae anamaliza muda wake within three years would render more costs than benefits, sio kwa CCM tu bali kwa Taifa; Again, huyu ni rais wa nchi, sio wa CCM au Chama cha Soka; Hakuna mtanzania anayetaka utawala wa nchi uwe na msukosuko zaidi ya huu wa sasa ambao unatokana na minyukano yao wenyewe huko CCM, na hali itakuwa mbaya iwapo maamuzi juu ya suala hili yatafanyika kwa kukurupuka badala ya kutumia busara;

Iwapo kikao husika kitakubaliana kwamba kuna tatizo, option nyingine nzuri ni kuanzisha ‘a transition period' na kuchagua mwenyekiti mpya ambae huyo ndiye ataandaliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM 2015; Kuchagua tu mtu yeyote bila ya kuweka mazingira ya transition period nchi itajuta kwa kushabikia yaliyotokea kwani mwenyekiti mpya atamvuruga Rais na atavuruga mchakato wa kumpata mgombea 2015 aidha kwa kuvutia ngoma kwake au kukandamiza wengine kwa faida ya chaguo lake;
 
Kofia ya Mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Nchi hazikuwekwa pamoja kwa bahati mbaya, bali ilikuwa ni nia ya mukusudi ili kumpa nguvu Rais ya kuendesha nchi bila kuingiliwa na nguvu ya chama, hasa wakati ule Chama kimeshika hatamu;
Nasubiri JK apigwe chini chamani. Je atajiuzulu kama Mbeki? Hilo naunga mkono?

Ambalo siungi mkono ni kutenganisha hizo kofia za uongozi wa chama na ile ya serikali
 
Ni ujinga kujumuisha Watanzania wote kwenye kuwa nyuma ya huyo mwizi. I for one am not for him, halafu una-declare kuwa Watanzania wote "wako nyuma yake"! Aliekupa hiyo taarifa ni nani?
Selling yourself cheaply, bora hata changudoa!

Asante sana mkuu!mimi uwa nawashangaa sana watu wanaomshabikia Lowassa,kwa kitu gani alicholifanyia taifa letu katika vipindi vyake vya uwaziri wa kawaida mpaka uwaziri mkuu!sana sana ni kashfa na wizi unaopelekea mateso kwa Watanzania!ni ajabu sana kuna baadhi ya Watanzania hawana fikra hata kidogo na kushabikia mtu mchafu kama huyu,huu ni u.p.u.u.z.i uliopitiliza kwa kweli!
 
Ambalo siungi mkono ni kutenganisha hizo kofia za uongozi wa chama na ile ya serikali

Hii inaligharimu sana taifa. Ebu angalia pale juzi alipotumia magari na mali za dola jwenda kukagua miradi ya CCM!!! Na jinsi ambavyo uwa wanafanyia vikao vya chama pale ikulu!!!

Hili ni la kikatiba zaidi; ni muhimu kuwa na utaratibu wa kuwa na rais hasie kiongozi wa chama cha siasa.
 
..."Kama hata UWT wanatoa hongo kwenye chaguzi, basi namwachia Mungu".,JK -Dodoma October 2012.

Yaani jamaa alionysha udhaifu wa hali ya juu sana katika hili. Na kwamba hana meno dhidi ya uovu nchini mwetu. Hatuna rais kwa kweli.
 
vipeperushi vya kumchafua jk!?
Bac Nape n Riz,hawana akili
 
Ni ujinga kujumuisha Watanzania wote kwenye kuwa nyuma ya huyo mwizi. I for one am not for him, halafu una-declare kuwa Watanzania wote "wako nyuma yake"! Aliekupa hiyo taarifa ni nani?
Selling yourself cheaply, bora hata changudoa!

Umeonaeeh,hata mi huwa najiuliza kuna wenzetu wamerogwa?,maana haingii akilini pamoja na yote hayo tuliyofanyiwa,bado mtu na akili zake anatetea mafisadi,kweli tutafika?
 
Hii inaligharimu sana taifa. Ebu angalia pale juzi alipotumia magari na mali za dola jwenda kukagua miradi ya CCM!!! Na jinsi ambavyo uwa wanafanyia vikao vya chama pale ikulu!!!

Hili ni la kikatiba zaidi; ni muhimu kuwa na utaratibu wa kuwa na rais hasie kiongozi wa chama cha siasa.

Mkuu, nipe mfano sikatai kama upo, ila nisaidie kujua ni nchi gani rais siyo kiongozi wa chama kinachotawala. Kwanini Mbeki alilazimika kujiuzulu?

Labda hapo wananchi ndo tukemee kuiingiza serikali gharama kwa shughuli za chama
 
ccm hata ifanye nini itasambaratika kabla ya 2012.Kupona kwa ccm ni kuwa na m/kiti ambaye atakuwa na kofia moja tu.

Sina uhakika na CCM ila mwenyekiti wake lazima dude analoliongoza liungue kwani alikosa kusikiliza wanaomtakia mema na kuitakia nchi mema (wazalendo)....Kila la heri baba atleast mm nilikupigia makelele unakoelekea siko wengi waliokupenda walikwambia hukusikiliza ukasikiliza maadui waliojivisha ngozi ya kondoo nakujidai wanakupenda kumbe maslahi ndiyo yanayopendwa..Hata hivyo hukujali taabu ya watanzania ukidhani ww utakuwa salama kama vile mna Tanzania yenu nyingine....Nakuombea amani tu Mungu akujalie subira maana mbele yako kuna giza nene muujiza tuu ndiyo utakaokuokoa!
 
Umeonaeeh,hata mi huwa najiuliza kuna wenzetu wamerogwa?,maana haingii akilini pamoja na yote hayo tuliyofanyiwa,bado mtu na akili zake anatetea mafisadi,kweli tutafika?

Naamini watakapotifuana wenyewe kwa wenyewe mfano Lowassa kumbwaga JK, ni rahisi kwa CHADEMA kucapitalize kwenye hilo kama sababu ya wananchi kuiona CCM haifai. Vita vya panzi

Sijui kwanini ninaamini strategy nzuri kwa Chadema ingekuwa kuhakikisha influence ya JK imeondolewa

Ndo maana nikawaitoa ile mada ya JK achunguzwe kwa nyumba ya Msoga, kesho yake tukasikia Tundu Lissu anataka kumshtaki JK kuhusiana na majaji na niliunga mkono sana ile hoja
 
Sichangii hoja kufurahisha watu au kutafuta kuungwa mkono na watu, bali nachangia hoja kutokana na mawazo yangu huru, hasa nikisimamia kitu ninachoamini, sasa kama inaonekana ni hoja dhaifu, hilo linajadilika lakini kwa hoja mbadala; natarajia urudi na hoja mbadala juu ya suluhisho kwa suala lililo mbele yetu badala ya kutoa hoja za kulaumu mawazo yangu au kuyashangaa; Vinginevyo mgongano wa mawazo ni sehemu muhimu ya mijadala kama hii;

Nadhani unapenda kuliangalia suala hili kwa wepesi; Ni vizuri ukafahamu kwamba suala hili sio dogo kama unavyopenda kufikiri; Linahitaji busara kuliko jazba; Jaribu kutulia na ufanye a cost-benefit analysis kwa kuweka in the centre the fact kwamba huyu ni Rais wa nchi, sio Rais wa CCM au Chama Cha Soka;

Naendelea kusisitiza kwamba - iwapo wajumbe wa kikao husika watafikia ‘a consensus' kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa, J.K Kikwete ni Dhaifu na ni mzigo kwa Chama, basi kwa kuanzia, watazame kwanini walifikia huko, na iwe ni fundisho kwao kwamba next time wanapochagua mgombea Urais kupitia chama chao, wawe makini zaidi kuchagua mtu ambae atakuwa ni kiongozi bora na sio bora kiongozi; Hakuna mwenyekiti wa chama ambae atapendwa na watu wote katika nyakazi hizi; Kiongozi kuwa dhaifu au kutokuwa dhaifu inatokana na kuungwa au kutoungwa mkono na wenzako, nothing less, nothing more;

Vinginevyo kuanza kuvuruga mambo sasahivi kama unavyoashiria kushauri, just because of mistake iliyofanywa huko nyuma ya kuweka mtu ambae anamaliza muda wake within three years would render more costs than benefits, sio kwa CCM tu bali kwa Taifa; Again, huyu ni rais wa nchi, sio wa CCM au Chama cha Soka; Hakuna mtanzania anayetaka utawala wa nchi uwe na msukosuko zaidi ya huu wa sasa ambao unatokana na minyukano yao wenyewe huko CCM, na hali itakuwa mbaya iwapo maamuzi juu ya suala hili yatafanyika kwa kukurupuka badala ya kutumia busara;

Iwapo kikao husika kitakubaliana kwamba kuna tatizo, option nyingine nzuri ni kuanzisha ‘a transition period' na kuchagua mwenyekiti mpya ambae huyo ndiye ataandaliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM 2015; Kuchagua tu mtu yeyote bila ya kuweka mazingira ya transition period nchi itajuta kwa kushabikia yaliyotokea kwani mwenyekiti mpya atamvuruga Rais na atavuruga mchakato wa kumpata mgombea 2015 aidha kwa kuvutia ngoma kwake au kukandamiza wengine kwa faida ya chaguo lake;

Hiyo nchi unayoililia wewe kwa sasa ni ipi? Hao unawaona watapata msukosuko ni wapi ambao bado hawako katika msukosuko? Nyie ndiye wale ambao mnaangalia maisha yenu pale yanapokuwa hatarini ndiyo mnagundua kuna hatari lakini wale wengine wanoishi katika hatari katu hamuwafikirii. People have been killed wengine wameonewa beyond human imagination wamelishwa sumu na kurushiwa vitu vizito vya angani bado ww hukuona hiyo ni hatari? Kwahiyo sasa hatari inaonekana CCM inapokuwa exposed na nature kuwa ndiyo architecture wa hii wickedness yote?

Come'n tuliwapigia kelele sana tuli prophesy what is ahead bado mkafunga masikio na sasa you reap what you planted better remain quite and enjoy the dish...
 
Lowasa anajua anachokifanya kikwete jizuru utaibika bure
 
Labda nilishawahi kuheshimu sana michango yako kwenye jukwaa hili la siasa!!ila kwa upuuzi ulioandika hapo itabidi nianze kutafuta pa kuihamishia heshima yangu,naanza kuona kuwa hapo ilpo si mahali sahihi,pole mtambuzi!!kumbe wakati mwingine ni mganguzi!!in short hakuna cha maana ulichoandika hapo!!u-dudu mtupu.

Mkuu umemshambulia sana Mchambuzi bila kujibu hoja alizotoa. Mimi naona ni za msingi unless kama umempania toka wakati unamuaga wife home. Kwi kwi kwi
 
Hiyo nchi unayoililia wewe kwa sasa ni ipi? Hao unawaona watapata msukosuko ni wapi ambao bado hawako katika msukosuko? Nyie ndiye wale ambao mnaangalia maisha yenu pale yanapokuwa hatarini ndiyo mnagundua kuna hatari lakini wale wengine wanoishi katika hatari katu hamuwafikirii. People have been killed wengine wameonewa beyond human imagination wamelishwa sumu na kurushiwa vitu vizito vya angani bado ww hukuona hiyo ni hatari? Kwahiyo sasa hatari inaonekana CCM inapokuwa exposed na nature kuwa ndiyo architecture wa hii wickedness yote?

Come'n tuliwapigia kelele sana tuli prophesy what is ahead bado mkafunga masikio na sasa you reap what you planted better remain quite and enjoy the dish...

Iwe ni CCM, CUF, au CHADEMA Madarakani, ni kosa kubwa sana kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa Chama na Urais, sisi bado ni wachanga sana katika mfumo huo, hasa kutokana na kila mtu kutaka kuwa Rais hata akionja hata ukatibu kata; Nafasi ya mwenyekiti wa chama kwa nchi changa maana yake huyo ni Rais moja kwa moja au ana mkono mrefu wa kuteua Rais awe nani; Ni muhimu nafasi hii ibakia kama ilivyo huku nguvu za kiti hicho zikianza kupunguzwa taratibu na kupelekwa kwenye organs nyingine za chama;

Ni nchi kubwa kama marekani na kwingine ambao wamekomaa kiasi cha kwamba mwenyekiti wa DNC au RNC rarely proceed kutaka Urais wa nchi; Kama kuna consensus na pia hoja ya msingi juu ya tatizo hili, solution ya busara ni aidha:

  • Achagulie mtu ambae officially na kwa uwazi kabisa, atakuwa ndiye anayeandaliwa kuwa mrithi wa kiti cha Urais kupitia CCM kama wanavyofanywa Botswana, na hili lije chini ya mfumo mpya wa transitional leadership..., au
  • iwekwe kanuni kwamba mwenyekiti wa Chama cha siasa hatoruhusiwa kugombea Urais wa nchi katika kipindi cha miaka mitano baada ya kuachia nafasi yake hiyo; au
  • Katiba ya CCM ifanyie marekebisho nguvu na mamlaka ya mwenyekiti ili asiwe na absolute power ndani ya chama, na hilo likiwezekana, basi nafasi hizi mbili ndio zitenganishwe;

Pengine ni muhimu kwa mapinduzi haya yafanikiwe ili muone nilikuwa nina maanisha nini kama mtanzania;
 
Mkuu umemshambulia sana Mchambuzi bila kujibu hoja alizotoa. Mimi naona ni za msingi unless kama umempania toka wakati unamuaga wife home. Kwi kwi kwi

Asante mkuu; hajaja na hoja mbadala juu ya faida na hasara za mapinduzi haya kitaifa (sio ki-ccm au kichadema), pamoja na sustainability yake;
 
Back
Top Bottom