nawatakia mtifuano mwema na ikibidi waje wameuana kabisa awa wezi wa rasilimali za nchi ii
Kwa vyovyote vile hii si dalili nzuri kwa chama tawala.Zikiwa zimebaki siku tatu kuanza kwa mkutano mkuu wa CCM Taifa,Dodoma kumesambazwa vipeperushi vinavyowataka Wajumbe wa CCM kumkataa Mwenyekiti J.KIKWETE sababu ya udhaifu wake wa kiuöngozi unaokifanya chama chao kikòngwe kupoteza mvuto na kukataliwa na watu.
Kada aliyetoa shutuma hizo mbele ya waandishi wa habari amewataja Fred Lowasa,Martin Shigela,Bashe Hussein na Benno Malisa kama ndo wahusika wakuu wa vipeperushi hivyo.
Lakini Nape Nnauye akihojiwa na waandishi wa habari ktk uwanja wa ndege Dodoma alipofika kumpokea Mwenyekiti,NAPE amesema hao ni wahuni tu,ambao hawana nguvu ktk chama,wanatumia fedha za kifisadi kuyumbisha chama,ni wahuni tu wa barabarani ambao miili yao ipo CCM lakini akili zao zipo kwingine.
Tayali Mwenyekiti J.K amefika leo Dodoma kwa ndege 5H-TGF aina ya F50 tayali kwa mkutano mkuu wa chama!
Je hii ni nguvu ya Lowasa kukitikisa chama chake?
[B said:Ngaliba[/B] Dume;4998147]Zikiwa zimebaki siku tatu kuanza kwa mkutano mkuu wa CCM Taifa,Dodoma kumesambazwa vipeperushi vinavyowataka Wajumbe wa CCM kumkataa Mwenyekiti J.KIKWETE sababu ya udhaifu wake wa kiuöngozi unaokifanya chama chao kikòngwe kupoteza mvuto na kukataliwa na watu.
Kada aliyetoa shutuma hizo mbele ya waandishi wa habari amewataja Fred Lowasa,Martin Shigela,Bashe Hussein na Benno Malisa kama ndo wahusika wakuu wa vipeperushi hivyo.
Lakini Nape Nnauye akihojiwa na waandishi wa habari ktk uwanja wa ndege Dodoma alipofika kumpokea Mwenyekiti,NAPE amesema hao ni wahuni tu,ambao hawana nguvu ktk chama,wanatumia fedha za kifisadi kuyumbisha chama,ni wahuni tu wa barabarani ambao miili yao ipo CCM lakini akili zao zipo kwingine.
Tayali Mwenyekiti J.K amefika leo Dodoma kwa ndege 5H-TGF aina ya F50 tayali kwa mkutano mkuu wa chama!
Je hii ni nguvu ya Lowasa kukitikisa chama chake?
CCM ni imara hao ni wahuni waende chama cha wahuni wenzao wanaovaa magwanda huku ni full displini ukilete ujinga tunakutoa baru
Ngariba
Tayari
Kitendo cha kutenganisha kofia hizi mbili kutapelekea nchi kuyumba, kwani kimaamuzi, kutakuwa na mivutano mikubwa sana na ya mara kwa mara baina ya Mwenyekiti Wa CCM na Rais anayetokana na CCM; Ni muhimu kwa kofia hizi mbili ziendelee kubakia chini ya mtu mmoja kama ilivyo sasa, na iwapo hoja kwamba Mwenyekiti ni dhaifu itaungwa mkono na wengi, basi iwe ndio wake-up call juu ya umuhimu wa kuwa na uangalifu zaidi katika kuteua wagombea Urais kupitia CCM; Vinginevyo Mwenyekiti amebakisha miaka mitatu tu, aachwe amalizie muda wake;
Hivi sasa hazijatenganishwa zipo kwa kichwa kimoja, lakini nchi inayumba tayari
Mkimaliza maigizo yenu mnaendelea na hii...
View attachment 70800
Kofia ya Mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Nchi hazikuwekwa pamoja kwa bahati mbaya, bali ilikuwa ni nia ya mukusudi ili kumpa nguvu Rais ya kuendesha nchi bila kuingiliwa na nguvu ya chama, hasa wakati ule Chama kimeshika hatamu; Pamoja na ujio wa mageuzi ya kisiasa yaliyopelekea mfumo wa vyama vingi, leo hii uhalisia bado unabakia pale pale - Tanzania bado ni taifa changa sana kisiasa kuweza kutenganisha kofia hizi mbili bila kuleta madhara yoyote kwenye utawala wa nchi;