Mtifuano Mkutano wa CCM - Dodoma

Mtifuano Mkutano wa CCM - Dodoma

Kwani JK anachuana na nani kuwania uenyekiti??

Na nafasi za umakamu ni akina nani wanawania??

Kuna Uchaguzi ama kiinimacho cha uchaguzi??
 
jakaya ni dhaifu na hata kama ni lowasa anahusika sote twakiri udaifu wa jakaya
Zikiwa zimebaki siku tatu kuanza kwa mkutano mkuu wa CCM Taifa,Dodoma kumesambazwa vipeperushi vinavyowataka Wajumbe wa CCM kumkataa Mwenyekiti J.KIKWETE sababu ya udhaifu wake wa kiuöngozi unaokifanya chama chao kikòngwe kupoteza mvuto na kukataliwa na watu.

Kada aliyetoa shutuma hizo mbele ya waandishi wa habari amewataja Fred Lowasa,Martin Shigela,Bashe Hussein na Benno Malisa kama ndo wahusika wakuu wa vipeperushi hivyo.

Lakini Nape Nnauye akihojiwa na waandishi wa habari ktk uwanja wa ndege Dodoma alipofika kumpokea Mwenyekiti,NAPE amesema hao ni wahuni tu,ambao hawana nguvu ktk chama,wanatumia fedha za kifisadi kuyumbisha chama,ni wahuni tu wa barabarani ambao miili yao ipo CCM lakini akili zao zipo kwingine.

Tayali Mwenyekiti J.K amefika leo Dodoma kwa ndege 5H-TGF aina ya F50 tayali kwa mkutano mkuu wa chama!

Je hii ni nguvu ya Lowasa kukitikisa chama chake?
 
nawatakia mtifuano mwema na ikibidi waje wameuana kabisa awa wezi wa rasilimali za nchi ii

ccm hata ifanye nini itasambaratika kabla ya 2012.Kupona kwa ccm ni kuwa na m/kiti ambaye atakuwa na kofia moja tu.
 
CCM ni imara hao ni wahuni waende chama cha wahuni wenzao wanaovaa magwanda huku ni full displini ukilete ujinga tunakutoa baru
 
CCM ni imara hao ni wahuni waende chama cha wahuni wenzao wanaovaa magwanda huku ni full displini ukilete ujinga tunakutoa baru

Ah kudadeki wewe nimekoma na ukome ukomae, usiihusishe kabisa chadema na uhuni wa CCM, hujui kuwa CCM aka ni chama cha majambazi?
 
Huyo ndo EL bwana, nani anasema EL siyo jembe? Pambana EL, watanzania wote tupo nyuma yako
 
..."Kama hata UWT wanatoa hongo kwenye chaguzi, basi namwachia Mungu".,JK -Dodoma October 2012.

Wa hiyo amethibitisha kwamba kwa jumuiya zingine ni Ruksa kutoa Rushwa but siyo UWT? Duuh sio mchezol
 
Ina maana Nnape kama kiongozi wa juu katika Chama anajua kuwa kuna wahuni na wanashindwa kuwashughulikia! Huo ndo udhaifu wanao ongelea
 
tutawasaidia kuwapelekea mashada huku tukiimba 'parapanda ccm' na kufa lazima ufe ccm maana kila nafsi inaombea hilo
 
Wamechaguana kwa kuhongana weee. sasa umefika muda wa mkuu wakaya sijui itakuwa ni shilingi ngapingapi.
 
Kila Mtu mwenye akili timamu anajua vipeperushi hivi vimeandaliwa na vinyago wa Riz wakishirikiana kwa karibu na Nape na baadhi ya wapuuzi wa UV CCM Mbeya na KINA Makonda Lengo Lao ikiwa ni kumchafua LAIGWANANI. Lakini wameshafeli na ukweli utadhihirika kesho. Wanalia na Fred is FRED LOWASSA a politician? Waache unafki, Hao Hao waendekeza njaa wanaogawa vipeperushi kwenye uchaguzi walikuwa wanasema wanaomba VIPEPERUSHWA. Leo wamegeuka time will.... Nape na vinyago wako vibaraka wa CCJ Mtaaibika kweupe laaana kum!
 
Wezi wameanza kutifuana wenyewe,natamani watuangane mingumi ya kufa mtu.
 
Kofia ya Mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Nchi hazikuwekwa pamoja kwa bahati mbaya, bali ilikuwa ni nia ya mukusudi ili kumpa nguvu Rais ya kuendesha nchi bila kuingiliwa na nguvu ya chama, hasa wakati ule Chama kimeshika hatamu; Pamoja na ujio wa mageuzi ya kisiasa yaliyopelekea mfumo wa vyama vingi, leo hii uhalisia bado unabakia pale pale - Tanzania bado ni taifa changa sana kisiasa kuweza kutenganisha kofia hizi mbili bila kuleta madhara yoyote kwenye utawala wa nchi;

Kitendo cha kutenganisha kofia hizi mbili kutapelekea nchi kuyumba, kwani kimaamuzi, kutakuwa na mivutano mikubwa sana na ya mara kwa mara baina ya Mwenyekiti Wa CCM na Rais anayetokana na CCM; Ni muhimu kwa kofia hizi mbili ziendelee kubakia chini ya mtu mmoja kama ilivyo sasa, na iwapo hoja kwamba Mwenyekiti ni dhaifu itaungwa mkono na wengi, basi iwe ndio wake-up call juu ya umuhimu wa kuwa na uangalifu zaidi katika kuteua wagombea Urais kupitia CCM; Vinginevyo Mwenyekiti amebakisha miaka mitatu tu, aachwe amalizie muda wake;
 
Ina maana Nnape kama kiongozi wa juu katika Chama anajua kuwa kuna wahuni na wanashindwa kuwashughulikia! Huo ndo udhaifu wanao ongelea

Nape ndo muhuni akishirikiana na Riz Lengo ni kumchafua Lowassa, Sisqo a.k.a Mwamba wa Kaskazini ni mzee wa strategy, hawezi fanya huu upuuzi ingekuwa VIPEPERUSHWA Sawa tungeweza doubt lakini sio huu upuuzi wa kisekondari tatu bila itawaumiza walale, wainame, waamke 3-0, tatu bila dadadeki zao
 
Back
Top Bottom