Mtifuano Mkutano wa CCM - Dodoma

Mtifuano Mkutano wa CCM - Dodoma

Kama NPE amefahamu ni wahuni wanaosambaza vipeperushi kwa nini wasiwatafute wakafukuza ndani ya chama cha mafsadi CCM? Kama wanashindwa kuwafukuza basi chama chao kweli ni cha kihuni na kimejaa wahuni watupu.
 
..."Kama hata UWT wanatoa hongo kwenye chaguzi, basi namwachia Mungu".,JK -Dodoma October 2012.

Bila shaka hata katika hili la kutaka kuong'olewa kwenye uenyekiti amemwachia Mungu! Swali ni Mungu yupi anayemzungumzia?
 
Yaah its true the only difference is I know what will be the outcome (the reason why am cool) and you try to calculate the probability of the occurance for the future is very uncertain on your side....Soma tena post yangu ya easter 2011....This is a very calculated move and no one ambaye anaitwa fisadi atakaa aingie katika political circles za Tanzania..Wengine wanaakili nyingi sana na kudhani ni wajanja lakini we have got power to effect change..Watch and see the best is yet to come!

Unaweza nipatia link to hiyo post ya easter?
 
Ame,

Nimekusoma, ila ningependa kuelewa connection baina ya posts zako za awali, posts za kwenye uzi huu, na matukio yanayo unfold dodoma kwani napata tafsiri sio chini ya nne: Kwanza, kofia hizi mbili ni lazima zitenganishwe na ikiwezekana, mwenyekiti aliyepo sasa ni lazima aondoke mazima; Pili, pia nguvu inayodhamiria kumtoa mwenyekiti wa sasa nayo lazima iondoke; Tatu, ni muhimu migongano hii iendelee ndani ya CCM ili chama kife na kuisafishia Chadema njia, na Nne, hakuna tena matumaini ya mabadiliko kupitia CCM bila ya kujalisha nani atagombea 2015, na matumaini hayo sasa yapo chadema;

Sijakuelewa vizuri kuhusu post namba 145 hapo juu - kuhusu mada ya mkandara;
 
Ni ngumu kunielewa kwasababu is a design na inahitaji three dimension kuielezea uipate katika facets zake zote to bring an image.....Vita hapa si chama bali ufisadi.....CCM ilikataa kuuondoa ufisadi na kwa muundo wake tangu kuanzishwa ni kuwa chama na dola vimefungamanishwa so ukiiua CCM lazima na system nzima iwe destroyed wakifanikiwa kuitenganisha CCM na dola basi hapo democracy itaamua ambapo both in CDM na CCM kuna watu wana gud will na wana political influence shida ni kuwa CCM imeamua kufa na mafisadi and I say gud for them but I hold my promise they wont go as far as they want to maana nasimama katikati na lazima wadondoke watake ama wasitake its a mission accomplished!....

CDM gives an opportunity for new system to emerge na hiyo ndiyo sababu kubwa inayonifanya ni back CDM maana najua nini kitafuata baada ya CDM kuchukua nchi....
 
Laiti kama wangekuwa wanatumia akili hizo ili kuleta maendeleo ya
nchi yetu tungekuwa mbali sana.

Kwa watu ambao hawaelewi lazima watakuwa makini kuangalia kwa
macho mawili kile kinachoendelea Dodoma, kutokana na kile kinachoaminika
kuwa ni mgogoro mzito unaoendelea ndani ya chama hicho Tawala ukimtaka
mwenyekiti kuacha kofia moja.

UKWELI: Hii ni mbinu ya CCM kuvutia watazamaji ili kuzidi kujijengea umaarufu
katika macho ya Watanzania, ni kweli wamefanikiwa maana 'MEDIA' zote
zimehamishia macho yao huko na kuwafanya Watanzania waache kufikiria
mambo yao ya msingi na kufikiria kile kitakachojiri CCM.

Sioni Tofauti ya mtu anayeshabikia tukio la wazinifu kugandana na yule
anayeshabikia Kinachoendelea CCM- Dodoma.

JUMAPILI NJEMA
 
GAZETI Kwa kweli hawa mafisadi hawana akili zaidi ya kujilimbikizia mali ambayo nyingi yao inatokana na kodi ya Watanzania!
 
Last edited by a moderator:
GAZETI Kwa kweli hawa mafisadi hawana akili zaidi ya kujilimbikizia mali ambayo nyingi yao inatokana na kodi ya Watanzania!
Ni akili kama zile za wakoloni ambao walikuwa wanabadilisha shanga
kwa Almasi au ni akili za hao hao wakoloni za kubadilishana madini
kwa chandarua zenye matundu makubwa ambayo hata inzi hupenya

Wana akili ndio maana wanatumia vizuri fursa za 'Wagawe uwatawale'.
 
wanajisifu kwa kujaza rangi za kijani dodoma.
acha kina babuu,mzee kantabula,vena,tonya,kimaro wavune hela kwa usafiri wa taxi na gesti zipate hela.
 
Ni kweli magamba wana akili sana hasa ukichukua sample ya kj,mwigulu,lusinde....wanatisha na wamewaletea watz maisha bora kwa akili zao, jamaa wako nondo aseeee....
 
wanajisifu kwa kujaza rangi za kijani dodoma.
acha kina babuu,mzee kantabula,vena,tonya,kimaro wavune hela kwa usafiri wa taxi na gesti zipate hela.

hahahaha, hongera ya kodi zetu ni mlungula kwa kipindi kama hiki.
 
Ni kweli magamba wana akili sana hasa ukichukua sample ya kj,mwigulu,lusinde....wanatisha na wamewaletea watz maisha bora kwa akili zao, jamaa wako nondo aseeee....
Mkuu Ciello inawezekana hujaelewa nilichopost.
 
Ni kweli magamba wana akili sana hasa ukichukua sample ya kj,mwigulu,lusinde....wanatisha na wamewaletea watz maisha bora kwa akili zao, jamaa wako nondo aseeee....

Unamsahau wassira
 
Back
Top Bottom