Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,148
- 14,488
Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu? Anakwenda kumsimamia dakitari kwenye kituo cha afya kilichopo kijijini ama mtaani kwake? Anakwenda kusimamia shughuli za ulinzi na usalama?
Huko Geita hawa viongozi wa vijiji wameua mtanzania kwa sababu eti ameiba 💻 kweli?
Huko Geita hawa viongozi wa vijiji wameua mtanzania kwa sababu eti ameiba 💻 kweli?