Hii nayo sasa mbena malumbi ni wa ikulu ndio anayetajwa kwenye huo uwekezaji wa sasa.kuna mambo nyuma ya pazia tusio yajua.naona hapa kuna mchanganyiko wa habari huyu Mbena mwenye majumba si mfanyakazi wa ikulu ni mfanyabiashara wa miaka mingi tu toka enzi za nyerere. Mbena wa Ikulu ni mwingine nimeshasikia watu wengi wakichanganya ili yule wa Ikulu anaitwa paul na sio tajiri kihivyo
naona hapa kuna mchanganyiko wa habari huyu Mbena mwenye majumba si mfanyakazi wa ikulu ni mfanyabiashara wa miaka mingi tu toka enzi za nyerere. Mbena wa Ikulu ni mwingine nimeshasikia watu wengi wakichanganya ili yule wa Ikulu anaitwa paul na sio tajiri kihivyo
naona mkuu wa wilaya umenena,na sisi tunasadikiMbena malundi -mfanyabiashara na mwekezaji katika majengo mkoani morogoro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo,naamini sasa mwanadishi wa thread utakuwa umepata ukweli kati ya mbena mfanyabiashara na mbena mfanyakazi wa ikulu.
gama hiyo chilakale resort huikujegwa kwa miaka 12 wacha uongo lile eneo tulikuwa tunaokota maembe dodo pale na mmiliki na mjua mpaka akawauzia hawa jamaa mwaka jana na ujenzi ulianza mara moja. Kuna wafanyabiashara wa mabasi wangapi lakini hakuna faida ya mabillion kama huyu unavyomtetea labda nawe ni mnufaika. Yale yale ya kina maige na malori 2 faida 40,000 dola kwa mwezi. Ni uongo mtupu. Huyo abood hawezi fanya kufuru kama hiyo na utajiri wake wa mabasi ni biashara nyingine. Tembelea bigwa ukaulize wenyeji kuhusu huyo mluguru wao utapata mengi.
majungu yanakusumbua utakufa na umasikini wakoNi mtendaji wa ikulu kwa jina Mbena malumbi anafanya kufuru huko morogoro maeneo ya bigwa katika barabara ya zamani ya dar-moro kutokea mjini moro.
Yasemwayo na wananchi wa huko ni kuwa watu wananunuliwa kwa hela yeyote ile unataja wewe wakita enao lako na kukuhamisha hata kama una makazi tayari.
Washajenga hotel kando ya mto inaitwa Chilakale resort na live band yao ni hali ya juu sana.
Pia kuna ujenzi unaendelea kando ya huo mto mpaka kwenye milima ya uluguru majengo yanainuka kama uyoga na wananchi wakizidi kununuliwa kila kukucha.
Niliuliza nani ndio mhusika wa haya yote anatajwa huyo mtendaji wa ikulu.
Naomba kuuliza wanajamvi mwenye taarifa kuhusu huyu mtendaji wa ikulu na utajiri wa kutisha kama huu kaupata wapi ama kuna watu nyuma yake.
Hifadhi ya mlima Uluguru karibia yote washaichukua kwa mida ya usiku unaona umeme ukuwaka mlimani wakati huku wengine kuna mgao.
Naomba tasaidiane mwenye taarifa rasmi kuhusu huyu afisa wa ikulu atujuze.
Source ni mimi mwenyewe mkazi wa Moro. Naomba radhi kama sikufuata utaratibu wa uandishi.
majungu yanakusumbua utakufa na umasikini wako
Mbena malundi -mfanyabiashara na mwekezaji katika majengo mkoani morogoro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo,naamini sasa mwanadishi wa thread utakuwa umepata ukweli kati ya mbena mfanyabiashara na mbena mfanyakazi wa ikulu.