Mtendaji wa Ikulu na ujenzi wa majumba huko Morogoro

Mtendaji wa Ikulu na ujenzi wa majumba huko Morogoro

Morogoro Moro Yapendeza Hii Ya Huyu Jamaa Bhalaa
 
kwa wanao beza ni magamba nawajua. Je hizo mali na mamilioni ya hela anayomwaga ni halali ama si halali.
Hilo ndio mleta mada alitakiwa atafiti aja hapa akiwa kamili
 
Acha wajenge wamebakiza miaka mitatu tu waondoke maana hawataiona tena Magogoni. Zaidi tutawahoji hizo mali walizipata wapi. Mwisho wao uu karibu.
Hayo yako Mkuu! Haojiwi mtu Hapa, tutadumu milele.
 
Ni mtendaji wa ikulu kwa jina Mbena malumbi anafanya kufuru huko morogoro maeneo ya bigwa katika barabara ya zamani ya dar-moro kutokea mjini moro.

Yasemwayo na wananchi wa huko ni kuwa watu wananunuliwa kwa hela yeyote ile unataja wewe wakita enao lako na kukuhamisha hata kama una makazi tayari.

Washajenga hotel kando ya mto inaitwa Chilakale resort na live band yao ni hali ya juu sana.

Pia kuna ujenzi unaendelea kando ya huo mto mpaka kwenye milima ya uluguru majengo yanainuka kama uyoga na wananchi wakizidi kununuliwa kila kukucha.

Niliuliza nani ndio mhusika wa haya yote anatajwa huyo mtendaji wa ikulu.

Naomba kuuliza wanajamvi mwenye taarifa kuhusu huyu mtendaji wa ikulu na utajiri wa kutisha kama huu kaupata wapi ama kuna watu nyuma yake.

Hifadhi ya mlima Uluguru karibia yote washaichukua kwa mida ya usiku unaona umeme ukuwaka mlimani wakati huku wengine kuna mgao.

Naomba tasaidiane mwenye taarifa rasmi kuhusu huyu afisa wa ikulu atujuze.

Source ni mimi mwenyewe mkazi wa Moro. Naomba radhi kama sikufuata utaratibu wa uandishi.
Tupe mrejesho mkuu
 
Kuna Amri Ilitolewa Na Mamlaka Zinazolinda Uoto Wa Asili Wa Mlima Wa Udzungwa Kuwa Wote Waliojenga Kule Mlimani Wafanye Ubomoaji Wenyewe Lakini Ni Kitambo
 
Kuhusu chanzo cha ujenzi ilikuwa ni vyema kumuona muhusika umuulize unatoa wapi hela ya ujenzi sisi hatuwezi kukupa jibu sahihi
 
Huyo Mlambena Malumbi anatisha kwa utajiri pale Morogoro na wala siyo majungu.

Watu wana haki ya kuuliza mfanyakazi wa kawaida serikalini kama yeye anapata wapi huo utajiri wa kufuru.

Ieleweke kwamba ule wakati wa kuwaona wahujumu/mafisadi wa mali za uma ndiyo wajanja unatakiwa uishe.

Hawa watu wanatakiwa waadhibiwe kama wahalifu wengine.

Haiwezekani mtu huyu ambaye ana nyumba za nguvu kila mtaa manispaa ya Morogoro na zote hazitumiki awe au mtu atuaminishe kwamba anapata pesa yake kihalali.
Baadhi zinatumika tangu miaka mingi ya nyuma
Fanya utafiti wa kina sana kuhusiana na hizo nyumba hasa mida ya jioni na usiku, kuna Watu huwa wanaingia, kukutana ndani kwenye hizo nyumba.Nyumba zingine kuna vijana maalumu wapo wanaishi kwenye hizo nyumba
 
Ni mtendaji wa ikulu kwa jina Mbena malumbi anafanya kufuru huko morogoro maeneo ya bigwa katika barabara ya zamani ya dar-moro kutokea mjini moro.

Yasemwayo na wananchi wa huko ni kuwa watu wananunuliwa kwa hela yeyote ile unataja wewe wakita enao lako na kukuhamisha hata kama una makazi tayari.

Washajenga hotel kando ya mto inaitwa Chilakale resort na live band yao ni hali ya juu sana.

Pia kuna ujenzi unaendelea kando ya huo mto mpaka kwenye milima ya uluguru majengo yanainuka kama uyoga na wananchi wakizidi kununuliwa kila kukucha.

Niliuliza nani ndio mhusika wa haya yote anatajwa huyo mtendaji wa ikulu.

Naomba kuuliza wanajamvi mwenye taarifa kuhusu huyu mtendaji wa ikulu na utajiri wa kutisha kama huu kaupata wapi ama kuna watu nyuma yake.

Hifadhi ya mlima Uluguru karibia yote washaichukua kwa mida ya usiku unaona umeme ukuwaka mlimani wakati huku wengine kuna mgao.

Naomba tasaidiane mwenye taarifa rasmi kuhusu huyu afisa wa ikulu atujuze.

Source ni mimi mwenyewe mkazi wa Moro. Naomba radhi kama sikufuata utaratibu wa uandishi.

Kama ni mtendaji wa Ikuku, basi anatekeleza amri ya IKULU, na pesa anazitoa ikulu
 
mleta mada acha majungu huyu jamaa alikuwa na miradi mikubwa morogoro toka enzi hizo nasoma shule ya msingi mji mkuu hapo morogoro kma guest house na magari acha kujurupuka,hama kwa shemeji yko na wew uongelewe kwa mafanikio na siyo kusemwa kwa kumaliza ugali wa bure
 
Unachosema ni kweli kabisa, Lakini ni ukweli pia kuwa huyo jamaa ameacha utitiri mkubwa sana WA majumba makubwa sana mjini Morogoro na Dsm.Pesa za kujenga majumba yote Yale alizipata wapi??
 
Back
Top Bottom