Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

Hahaha hahaha mkuu molemo nimeipenda hiyo!
 
Mkutano wa Kampeni za
Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi
kuwazomea kwa nguvu.

Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi
alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo
badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na
viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na
kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia
zaidi.

Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba
ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA
kama ilivyo kawaida yake.

Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni
kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda
anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.

Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya
robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio
wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM
Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!

Huyu si angevishwa sketi wakuu!
 
Hivi Mtela na Mnchemba wakiwa wawili wanafanya nini zaidi ya Kuliberaliana!
 
mwapamba ni mliberali ndio maana hakufiti cdm akaenda kwa waliberali wenzie,khahaaaaa,theheheee
 
Hahahahahahahahaahahahhaaaha Molemo naona unaripoti habari za Mtela.

Hahahahahahahahahahahaha hivi kwei mtu unaweza kutoa ripoti ya habari za mtu ambaye hana manufaa?

Hhahahaahahahahahahahahahahahahahaa huyu jamaa kawacharaza bakora za nanihii kule Iramba.

Hahahahahahahahahahahahahahahahaha
Hivi wewe ni mzima kweli.
 
ilikuwa kama sinema vile ikabidi busara itumike vinginevyo ilikuwa hatari
 
Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.

Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.

Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.

Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.

Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!
Kuna mtu aliua mtu adhabu yake ilikuwa kuibeba maiti mgongoni hadi itakapooza, Mwigulu nafsi inamsuta anajuta kumumwagia tindikali hadi siku atakapokiri.
 
Mkuu Molemo mimi nilikuwepo uwanjani,mtela alizomewa na nusura apate kichapo kutoka kwa wana Mbulu amabao historia yao inafahamika mwenyekiti wa ccm taifa alizomewa katika uwanja huu mwaka 2010
 
Endeleeni na longo longo zenu hizi za FEEL GOOD wakati wenzeni wanapiga mzigo kama kawaida. Endeleeni na cheap politics wakati CCM imedhubutu, imeweza na kwa sasa inatenda.

Huu ndiyo mkutano wake mnaodai alishushwa, endeleeni na spinning zenu.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    125.7 KB · Views: 45
  • image.jpg
    image.jpg
    211.6 KB · Views: 45
tatizo Mwampamba Kula yake inategemea jina la Dr.Slaa.

atafute kazi ya maana itakayomwingizia kipato, sio ya kuburuuzwa na mwigulu mwisho anaambulia kuvuna aibu.!!
 
Hahahahahahahahaahahahhaaaha Molemo naona unaripoti habari za Mtela.

Hahahahahahahahahahahaha hivi kwei mtu unaweza kutoa ripoti ya habari za mtu ambaye hana manufaa?

Hhahahaahahahahahahahahahahahahahaa huyu jamaa kawacharaza bakora za nanihii kule Iramba.

Hahahahahahahahahahahahahahahahaha

Wewe ZeMarcopolo utakuwa umepata "MNEPO" kwa lugha ya kitaalumu inaitwa HYSTERIA
 
Kada mmoja wa ccm msanii Flatey ndo alituliza soo,ila ccm tulishaizika 2010 Mbulu anaebisha amulize mwigulu,shem shonza na mtela,hata salamu ya ccm hoyeee haikuitikiwa zaidi ya wapambe wa meza kuu
 
Mkuu Molemo mimi nilikuwepo uwanjani,mtela alizomewa na nusura apate kichapo kutoka kwa wana Mbulu amabao historia yao inafahamika mwenyekiti wa ccm taifa alizomewa katika uwanja huu mwaka 2010

Hawajui jimbo lile linaongozwa na CHADEMA chini ya Mustafa Akoonay.
 
Endeleeni na longo longo zenu hizi za FEEL GOOD wakati wenzeni wanapiga mzigo kama kawaida. Endeleeni na cheap politics wakati CCM imedhubutu, imeweza na kwa sasa inatenda.

Huu ndiyo mkutano wake mnaodai alishushwa, endeleeni na spinning zenu.

Kakutumia picha ili utulize soo,aje mwenyewe hapa akanushe
 
Back
Top Bottom