[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Ndugu wakati mwingine zemarcopolo anaweza changia mada nakutoa point mpaka utashangaa, ila kuna saa ana crash mada ya wazi kabisa mpaka unashangaa, nafikiri anatatizo mahali si vibaya akamwona dactari.
ZeMarcopolo ee, kicheko hichi hakiwezi kuwa bure. hujatoka glosari wewe? ha ha ha ha.....