- Thread starter
- #81
Endeleeni na longo longo zenu hizi za FEEL GOOD wakati wenzeni wanapiga mzigo kama kawaida. Endeleeni na cheap politics wakati CCM imedhubutu, imeweza na kwa sasa inatenda.
Huu ndiyo mkutano wake mnaodai alishushwa, endeleeni na spinning zenu.
Vipi na Mbozi utaenda tena kutukana CHADEMA kama ulivyokwisha ahidi?