Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

Hahahahahahahahaahahahhaaaha Molemo naona unaripoti habari za Mtela.

Hahahahahahahahahahahaha hivi kwei mtu unaweza kutoa ripoti ya habari za mtu ambaye hana manufaa?

Hhahahaahahahahahahahahahahahahahaa huyu jamaa kawacharaza bakora za nanihii kule Iramba.

Hahahahahahahahahahahahahahahahaha

Ur simply I . d.i.o.t
 
Hahahahahahahahaahahahhaaaha Molemo naona unaripoti habari za Mtela.

Hahahahahahahahahahahaha hivi kwei mtu unaweza kutoa ripoti ya habari za mtu ambaye hana manufaa?

Hhahahaahahahahahahahahahahahahahaa huyu jamaa kawacharaza bakora za nanihii kule Iramba.

Hahahahahahahahahahahahahahahahaha

Ur simply I . d.i.o.t


Masanilo, hebu mwache rafiki yangu afurahi leo kumekucha vizuri. Unaambiwa Mungu aliweka kicheko tuongeze maisha. Hebu mwache rafiki yangu nayeye leo apumue!
 
KUZOMEA HAIASHIRII NI USHINDI
Ushindi upo kwenye box la kupigia kura

Mkuu, ukiona tumbo limeanza kukukoroga unaelewa tu kuwa maliwato itakuhusu. Sasa ukiona mbunge,naibu katibu mkuu, mjumbe wa CC, M-NEC anazomewa huoni tu hatari yake?
 
Kama kuna mwanaccm mpumbavu na bado anaamini kuwa wairaqw ni wajinga na watu wa kuwadanganya basi akasome historia ya Chifu Sarwatt. Huu ushenzi wa akina Mwigulu kwa wale jamaa hauna pa kupita. Mwulizeni mkulu alivyozomewa na Marmo wake 2010.

Muda wa kulonga urongo ushaisha kule. Tunawaomba tu na watanzania wengine wakajifunze,,ccm wehu tu wametukalisha 50 years ya kuwa maskini
 
Nasikia mtela anakuja mbozi kufanya mkutano,nampa tahadhari vijana wa hapa wanahasira sana!!!ulinzi aliouomba unaweza usitoshe kwani watu wanasema msaliti dawa yake kifo!!
 
Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!
sasa si waache tu kampeni?
au kukamilisha ratiba?
 
Ni jambo la aibu sana kwa chama tawala kilichokuwa madarakani kwa miaka 50 kutumia nguvu kubwa mno, rasilimali nyingi kushindana na Chadema ambacho ni chama cha jana tu. Hili linaonesha wazi kwamba CCM imechokwa na watanzania walio wengi kwa sasa. Ni hekima CCM ikakaa pembeni ili kujipanga upya na kuangalia wapi walipokosea mpaka watanzania hawawataki tena.
 
Back
Top Bottom