Stori za ghahawaniMtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
Hii issue ilifanyika kipindi kile mlipoona chopa zikizunguka anga la Dar na viunga vyake, pamoja na ulinzi mkali ukiimarishwa jijini Dar. Watu wengi wakahusisha na mkwara wa bro wa slowslow.
Inadaiwa siku hiyo polisi kadhaa na hired goons kadhaa walidakwa na kuchujwa kwa mahojiano ya siku 3 kambi ya jeshi ya Lugalo.
Waliokwama kwenye mchujo wako chini ya ulinzi mpk kesho.
N. B. Mleta mada hataki majina yatajwe. Nami naheshimu na kuishia hapo
Tunamalizia kumchora tattoo ya taco.Bring back mafwele😂😂😂😂
Mkuu wala hupaswi kuamini habari hii ni uharo mtupu.Mkuu hapo 👆 jeshi linamshikilia ni police au jwtz.
Maana kiswahili kina misamiati michache
duuhh..hilo jambo haliwezekani.
..wanajeshi hawahusiki na ukamataji wa wahalifu, au raia.
..wanajeshi au MP wanakamata wanajeshi wenzao.
..Mafwele ndiye aliyekamata wanajeshi na alisikika akitoa taarifa ktk kikao na Igp.
Tz ina watu waajabu sana yaani ukileta habar hwaiachakati au kujiuliza mara2 wao wanapokea tu. Hii habari sio ya kuaminiHii siwezi kuamini.
Kufanya hivyo ni nusu ya kufanya utawala wa kijeshi.
Kwa sheria zetu jeshi la wananchi hawawezi kumkamata na kumhoji askari polisi kwa makosa ya jinai.
Panya hawakamatani.Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
Na yule jamaa wa Arusha vipi naye yumo ? hasikiki popote au ndiyo maana akasema jeshi lisichafuliwe na siasa kumbe kuna watu wake wamedakwa kambini hukoHii issue ilifanyika kipindi kile mlipoona chopa zikizunguka anga la Dar na viunga vyake, pamoja na ulinzi mkali ukiimarishwa jijini Dar. Watu wengi wakahusisha na mkwara wa bro wa slowslow.
Inadaiwa siku hiyo polisi kadhaa na hired goons kadhaa walidakwa na kuchujwa kwa mahojiano ya siku 3 kambi ya jeshi ya Lugalo.
Waliokwama kwenye mchujo wako chini ya ulinzi mpk kesho.
N. B. Mleta mada hataki majina yatajwe. Nami naheshimu na kuishia hapo
Mmmmh, usiwaamni hao wazushi tu.Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
Contradiction ya hio taarifa Iko hivi.Hii stori hata mimi niliisikia baada ya mtandao kurejea kile kipindi cha maandamano.
Aliyenambia alikuwa ni mfanyakazi wa ofisi binafsi ambayo inamilikiwa na mwanajeshi mwenye cheo cha juu.
Alipenyezewa hizo taarifa ila sikuziamini kwa asilimia zote kwa jinsi namna huyo mtu anavyoogopwa na hadi wakuu wake sikuona kama itakuwa ni real.
Maana kile kipande kina roho ngumu waweza sema Sisu, watu wanakihofia hadi maboss zake sikuweza kuamini moja kwa moja ila kwa huu ukimya wake tangu maandamano yafanyike maybe inawezekana.
Shikamo abunuasi. Naomba uamke, usije ukajinyea kitandani.Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
Si kila order inatekelezeka kaka. Walipita tpdf wanajua hili, only polic ndio wanafanyaga jambo bila kufikiriHizo ni futuhi, mwnye mamlaka hawezi kubembeleza, anatoa order tu, usipotii urudi kijijini kwenu ukalime