Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

Wewe ni mlaghaika. Hizo taarifa ulizoandika sio sahihi. Connect the dots...
ZeMarcopolo, nakuomba sana uwe unatafakari kidogo kabla ya kujibizana na watu wanaokuzidi akili na maarifa. Wewe hakuna lolote unalolijua zaidi ya kukesha humu na kuingilia mijadala inayokuzidi kimo. Umeita taarifa zangu kwamba siyo sahihi...nakuchallenge uthibitishe! Kama huwezi niombe msamaha.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Marco,
Hujui kuwa Mbowe ni miongoni mwa watu ambao wamezaliwa mwaka wa uhuru 1961 na hawaijui adha ya usafiri wa jiji,nikiwa na maana kazaliwa kakuta mambo ni mazuri nyumbani kwa enzi hizo,kakua nazo sasa anaziendeleza.
Leo hii ukitaka kuhoji na kutilia shaka utajiri wa Mbowe utaonekana punguani sana.
Tafuta pesa kihalali tengeneza future ya wanao kufa kwaja bwana Marco.
 
Biashara zote za Mbowe zinasimamiwa na mtoto wa Mtei.

Connect the dots...

Ha ha ha,sasa Marco ninachojua mie mama kaolewa kwenye hela kwa hiyo anaendeleza. Au unataka tuamini kuwa mama kaja na pesa toka kwao?
Hilo haliwezekani mkuu,mama kakuta mpunga pale ni jukumu lake kuiendeleza,hakuja na pesa toka kwao. Hata mila za kichaga haziruhusu hivo.
 
Biashara zote za Mbowe zinasimamiwa na mtoto wa Mtei.

Connect the dots...

Marco,
Kwa hiyo wewe mkeo ni mwiko kusimamia biashara au mali zako? Au ndo nyie mnaowafuga mama zetu hata gari lako hashiki!! Badilika, kwa kila mafanikio ya mwanaume,kuna mwanamke nyuma,wapeni fursa wanawake.
 
ZeMarcopolo, Mtei alikuwa Gavana wa BOT mwaka 1966 hadi 1974. Freeman Mbowe kazaliwa 14/9/1961, hivyo Mtei wakati anatolewa BOT Freeman alikuwa na miaka 13 kwa maana hiyo hata shule ya msingi hajamaliza.Sasa huo uhusanisho wako wa Mtei-Mbowe-BOT ni wapi na wapi; huu ni uupuzi mtupu, jitahidi uwe unachunguza kwanza kabla huja kurupuka kuandika ujinga.
 
ZeMarcopolo nakusubiri uthibitishe kuwa taarifa niliyotoa ni ya uongo, ukifanya hivyo mapema sitakuchukulia hatua yoyote ile ila ukiendelea kubana...

Cc: Moderator.

Mkuu,
Umemshika pabaya sana Marco, hatarudi ni muoga sana.
 
Last edited by a moderator:


Mod, tafadhari tusaidie kuweka jibu hili sawia chini ya bandiko juu, ili thread ifike mwisho libeneke lihamie kwingine mpaka kieleweke.
 
moderators mnaruhusu watu kupost uzushi hapa iheshimuni jf bana
 
Mkuu, kwa hiyo unatuambia kuwa Mbowe alitafutiwa kazi BoT na baba yake kwa sababu alikuwa maarufu anajuana na watu serikalini, nchi hii majanga nilidhani alipata kazi kutokana na elimu yake.
 
Inaelekea unaijua sana BOT na mambo yake, ebu tusaidie kutufafanulia maana tunasikia tu kuwa kuna mabilioni yalichotwa kwa ajili ya kampeni ya ccm; na mpaka sasa sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa ccm akikanusha au kutoa ufafanuzi juu ya jambo hili, leo nadhani wewe kwakuwa ni mpiga debe wa ccm japo naamini wewe binafsi hunufaiki moja kwa moja na pesa zile zaidi ya posho kidogo unayolipwa kwa siku (deiwaka) kutokana na kuleta mada kama hizi za kizembekizembe. Lakini naamini unaweza kutusaidia kuhusu swala hili, ni kiasi gani ccm ilijichotea kwa kampeni hizo? TUNAUCHUNGU MNO!!!!!!!!!!!
 
Akuombe msamaha kivipi kwani tupo mahakamani hapa, kila mtu kajenga hoja zake waachieni wasomaji.
 
Last edited by a moderator:

Wewe mbona juzi uligombana na mkeo na hujamwomba msamaha?
 
Mzee Mtei aliondoka BOT miaka ya 77, fedha za BOT zilikwapuliwa miaka 2000 je hapo mzee Mtei anaingia kivipi? na Je anatuhuma hizo? Acha unafiki wako wa kipumbavu!
 
Akuombe msamaha kivipi kwani tupo mahakamani hapa, kila mtu kajenga hoja zake waachieni wasomaji.



rais alusema waliochukuwa pesa za epa warudishe......ccm hoyeeeeeee

acheni mambo ya kuzinduwa vijumba saidieni wananchi kumsema mbowe au slaa au lipumba haisaidii wananchi lolote........wapeni mahitaji ya kibinadamu.....
 
Usirushe mawe wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo.Riz1 hajawahi kufanya kazi wala nini.Lakini nik tajiri wa kutupwa.Na hivi karibuni washirika wake kibiashara Home Shopping Center,wamegundulika kutuibia mapato ya mabilioni na inaonekana familia ya mkulu iko karibu.
Tutafika tu.
 
Kumbe bado ulikuwa unashabikia CCM?
Dah pole sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…