Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Kwa akili yako Mbowe anamiliki biashara moja ya Ukumbi wa Burudani (Billicanas)?
Na kama hajalipa/ halipi kodi huoni kama huo ni udhaifu wa Serikali yetu ya CCM ktk kukusanya kodi?
Na kama, kwa namna yoyote ile walitumia nafasi zao vibaya kwa maslahi binafsi wakiwa watumishi wa UMMA kwa nini serikali haikuwachukulia hatua? Huoni kama huo nao ni udhaifu wa Serikali yetu sikivu ya Chama Cha Mapinduzi?
Mkuu msikubali kuwa distracted na hawa kenge maji.
Kuna issue tatu mbele yetu:
1) Katiba mpya
2) Mabilioni ya wakwasi Uswisi
3) Vyama vinapewa bilions of tax payers maney na havifuati sheria.
Haya wanayoyasema hawa kenge maji ni upuuzi tu na mkiyakubali basi unaondoka kwenye mstari mazima.