Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

nyambafu kwa pachuchi gan 5m? et foreigner wakat ndo mnagpeleka na tigo wanawamega,lol umetsha sana.
 
Lengo ni kumkatisha tamaa na topic ya mapenzi ife!!!
He took it serious

Million 5 ungekimbia haraka sana kununua ka Rav4 kako ili usipande tena daladala!Pale kituoni Mwenge ungekuwa unatupita kama hutujui ahahahahah!

Mpelekee Shigongo riwaya hii unaweza uza ukapata chochote!
 
just be careful next time,it was very wrong to go with him at his home if you dont love him,what if he decided to rape you?could you stopped him?....hata sasa uendelee kuwa mwangalifu men do not give up easily he will come with new style and as i know most women change their minds easily...
 
Hahahaaaa kweli papuchi haijawah kosa pesa yani mtu anafika bei coz of papuchi daaa dunia ina mamboo hapo mlipokuwa mnanegotiate ni kama mlikuwa kwa mnada hahahaaaa boss kafika bei afu unabadili mawazo looo ....
 
Salam kwa wana jamvi wote!

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!

He said good thoughts, u re too emotional!

He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Nice day MMU crew!

lousy fiction, bs
 
Du milioni tano za hapo kwa hapo kwa papuchi? What is so special of this one among others (and the model is always the same)?
 
Huo ni Umalay.a tu! Bila rafiki yako kukwambia Boss Mkwale we ulikuwa ushalowa mishahaw.a!!
 
Halmashauri ya kichwa changu imekataa kabisa hii hadithi
 
Salam kwa wana jamvi wote!

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!

He said good thoughts, u re too emotional!

He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Nice day MMU crew!

Too good to be true!!
 
Pengine baada ya kukuvua Chup! na kuiona Papuchi yenyewe angegundua haistahili hata Tshs 5,000/- na dili lingekufia hapo hapo!!
 
Hakuna kitu kama hicho hii ni fix tu.
Uskute ameshakulamba zaman ila unakuja kujikosha tu hapa.
Alifikia kukupa hadi 3.5 milion na ukachomoa?!! Kwa mwanamke wa kibongo?!
Hiii ni hadithi tu
 
Papuchi zinapanda bei kila siku mweh!
boss kafika had 5mil???

Dah zinapanda sana tena kwa kasi, zinaenda sambamba na ukuaji wa uchumi nchini. Masikini hawatazigusa tena,
na hiyo ni usiku mmoja tu 5.0mil
 
Back
Top Bottom