Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Huyu anataka tu kuonyesha kwamba papuchi zimepanda bei ili awatishe watu. Hii story ameidesa - maana tumeshaiwahi kuisoma hapa hapa JF nadhani ilikuwa mwaka jana.
 
Aisee... hivi ni kwa nini TRA wanangagania kodi ya pombe ilihali kuna biashara kama hizi...
 
mil 5 ni ndogo mwanaume akiamua kukupa tho si kwa style hii.na si kirahis ivi lazima muwe mmezoeana na unamuheshi umemfanyia makubwa atatoa zaidi ya hapo.

Asante, unaonesha ni kwa jinsi gani una experience na maisha!
 
Salam kwa wana jamvi wote.

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tu.
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini.

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje.

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu.

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi.
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye.

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni halafu.

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi.

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa.

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?

Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love.

Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano.

Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test.

Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home.

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash.

Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you.

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu.

He said good thoughts, u re too emotional.

He ended we shall be always frends & anything you need just tell me will be glad to help.

Nice day MMU crew.

If truly you went at his domicile for very surely you offered him your 'pupuchi' and all this bla bla bla bla is just for covering your face, and actually he might have granted you just a meagre of lucre and not the sum you mentioned, truly I tell you.
 
Aisee... hivi ni kwa nini TRA wanangagania kodi ya pombe ilihali kuna biashara kama hizi...


Tena kweli kabisa, serikali inaweza kujenga maabara za kutosha kwa kodi ya ngono badala ya kuwa-harass wananchi mitaani wasio na hatia wakati kuna watu wanauza na kununua kwa pesa kubwa isiyokatwa kodi. Hivi hii kodi haipo kwenye irani ya uchaguzi..!!
 
Tena kweli kabisa, serikali inaweza kujenga maabara za kutosha kwa kodi ya ngono badala ya kuwa-harass wananchi mitaani wasio na hatia wakati kuna watu wanauza na kununua kwa pesa kubwa isiyokatwa kodi. Hivi hii kodi haipo kwenye irani ya uchaguzi..!!

Mi napendekeza kuwa kila mwanamke mwenye umri 18+ alipe "papuch tax"
 
papuchi dhahabu! kumbe ni ww nlisikia ukiingiziwa dudu linatoka na chembe za madini,hakika umejaaliwa
 
Papuchi zinapanda bei kila siku mweh!
boss kafika had 5mil???


Milioni 5?:A S 13:........ Mbona bado 'cheap'? .. Nimeshuhudia mwenzenu mmoja akidai gari aina ya Jeep, kutoka kwa mbunge fulani hivi ambaye hajatulia.
 
lets assume kuwa ni ukweli mi naona ulifika mbali ilibidi ukomalie HIV uone trust me asingeenda.

hiv testing sa mbili sa tatu mgegedane! tutakwisha jamani. vipimo vyenyewe vingine chenga tupu.
 
Wakina eric Shigongo wapo wengi sana siku hz
 
Back
Top Bottom