Hahahahahah...tatizo hii story imekaa kiuongo sana,ungesema amekupa laki moja ndipo ukabadili mawazo ila hili la milion tano tena za noti yaan zile nyekundu nyekundu kibao,wakat huo ulishakubali kwenda kupiga nae kahawa,kwa jinsi maelezo yako yalivyojichanganya,bado naamini dunian hajawahi kutokea mwanamke mwenye msimamo toka enzi za Hawa...
Hahahaaaa kweli papuchi haijawah kosa pesa yani mtu anafika bei coz of papuchi daaa dunia ina mamboo hapo mlipokuwa mnanegotiate ni kama mlikuwa kwa mnada hahahaaaa boss kafika bei afu unabadili mawazo looo ....
Itakuwa kaongeza sifuri mbele...yani walianza elfu 50, wakaja laki 3.5 hadi laki 5....
Hii thread ni ya mwaka jana....
Inaweza kuwa chai kweli, lakini nikwambie mkuu kuna watu wanahonga balaa 5Gs ni upuuzi fulani mtu anahonga 100Gs na hajala mzigo. Tunatofautiana uzoefu.
Kwa macho yangu nimeona mdada kakabidhiwa kadi ya SE TDV6 ya mwaka huu plus house so usishangae sana... haya yapo tu na ni mchepuko.
Hii thread ni ya mwaka jana....
Inaweza kuwa chai kweli, lakini nikwambie mkuu kuna watu wanahonga balaa 5Gs ni upuuzi fulani mtu anahonga 100Gs na hajala mzigo. Tunatofautiana uzoefu.
Kwa macho yangu nimeona mdada kakabidhiwa kadi ya SE TDV6 ya mwaka huu plus house so usishangae sana... haya yapo tu na ni mchepuko.
hivi mpaka anaongeza hushtuki tu hapo sa nyingine huyo boss ausambaza ukimwi
binafsi sioni ni namna gani utaendelea kumkwepa uyo mshkaji na 5m yake...embu fikiri kipindi umechacha kabisa huna hela na una shida ya hela kidogo tu kama laki 5 ushapiga akili zote umekwama but linakujia wazo kuhusu zile 5 m tena this time unajipeleka mwenyewe unajifanya kutuma vi sms vyako vya kumvutia mshakji mwisho anakugonga kavu...kama walivyosema waliotangulia if u were serious kuwa hutaki kuitoa nanihii yako hukuwa na sababu ya kwenda hadi hom kwake.
Dah zinapanda sana tena kwa kasi, zinaenda sambamba na ukuaji wa uchumi nchini. Masikini hawatazigusa tena,
na hiyo ni usiku mmoja tu 5.0mil
wawekezaji mje muwekeze kwakweli....Inaonekana ni bonge la asset kama ardhi...!!