Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

mmhh PAPUCHI MIL 5 for a single night !!! umeitunga vizuriii



Hata wewe watu8!
It is true sema siwezi taja kampuni utamjua alaf nifukuzwe kazi!!!!

That is the truth and he is a foreigner!!!!!!!!
 
Mapenzi shidaaa...
Pesaa ndio kabisa..
Wahaladei...wahaladei....
Wahaladeiiiiii.....
 
mm ninayo hyo ila jiandae vvu + mimba = mochwari.
Vp upo tayar?

Nipo tayari ilete maana vvu tayari ninayo....mimba siwezi kupata nimepandikiza vijiti af mochwari tulio wengi tutaenda japo si wote
 
ndio hayo yanaweza kuwepo lakin sio kwa huyu mtoa maada. Kama kakubali kutolewa out kwa kahawa tu leo achomoe kwa mil5??
Hyo swaga tu hakuna ukweli hapo

Mgirik naona ume mshusha sana mtoa mada, kwa kuwa simfahamu nakosa cha kuchangia kumhusu.
 
Hujasov mbona...umeahrisha tu....ipo siku utamvulia...upo weak kbs,ungekua na msimamo wa NO wala usingekubal ofa yake yyt....siku znakuja utamrudia tu.Tamaa mliumbiwa mbona!
 
Toka mwaka jana sijui bado kana kazi haka? cataliya nafikiri boss alishapita tena bure.
Halafu ulikua 2nd choice, boss baada ya kushindwa kwa besti ndio akaja kwako halafu ukachomoa mh!
 
Last edited by a moderator:
nyambafu kwa pachuchi gan
5m? et foreigner wakat ndo mnagpeleka na tigo wanawamega,lol umetsha
sana.

mil 5 ni ndogo mwanaume akiamua kukupa tho si kwa style hii.na si kirahis ivi lazima muwe mmezoeana na unamuheshi umemfanyia makubwa atatoa zaidi ya hapo.
 
Salam kwa wana
jamvi wote.

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini
naamini nitaeleweka tu.
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku
moja hapa jijini.

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa
mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka!
Ila binti akamtolea nje.

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu
bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki
yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu.

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi
dinner alikuwa havikosi.
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye.

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara
ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie
najua kuwa tabia yake ni halafu.

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening
coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi.

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a
big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall
do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa.

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?

Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for
nothing atiiiii, cause i know hakuna love.

Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano.

Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test.

Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take
me home.

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and
pick your cash.

Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money
with you.

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days
after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi
ofisini ni upuuzi mtupu.

He said good thoughts, u re too emotional.

He ended we shall be always frends & anything you need just tell me
will be glad to help.

Nice day MMU crew.

lets assume kuwa ni ukweli mi naona ulifika mbali ilibidi ukomalie HIV uone trust me asingeenda.
 
Boss msitaarabu sana, wengekuwa hawa wangine ingekuwa hadithi ingine.
 
Dah zinapanda sana tena kwa
kasi, zinaenda sambamba na ukuaji wa uchumi nchini. Masikini
hawatazigusa tena,
na hiyo ni usiku mmoja tu 5.0mil

jaman mm sion kikubwa kuhusu m5? maana kama mtu anaweza kukupa gari na nyumba je atashindwa m5 tho kwa staili hii hata nipewe sikubali maana no love and wat i nid is love.atakupa m5 + HIV
 
Kwa papuchi gani.
Toeni story za saluni hapa.
Wakati wenzako huwa tunawagegeda wahindi wazuuuuri kwa laki nne mpaka laki moja!
 
Back
Top Bottom