Yaani ingekuwa inaruhusiwa watu kama ninyi mlipaswa muuawe baada ya nchi kukombolewa maana bado mtaturudisha kwenye huu utumwa miaka mingine ijayo. Yaani ilikuwa inapaswa kuondoa vimelea vyote vya ufisadi na roho mbaya ili taifa lisije likarudi kwenye hii hali tena. Tutaikomboa inchi ila kama bado kuna mbegu ya watu wajinga na mashetani kama ninyi vizazi vyenu vitakuja kuwasumbua vitukuu vyetu huko mbeleni, so ilikuwa inatakiwa baada ya nchi kukombolewa machawa wote na wanaobeza mauaji ya watanzania wafutwe wote kwenye uso wa tanzania ili kutorisk nchi kurudi kwenye haya maumivuAhsante Mkuu, ila kuniita punguani umekosea sana kutofautiana mtazamo haihalalishi kutoana akili
Hata mimi nataka hata leo hii serikali dhalimu iondoke au iondoshwe
Nataka pia wauaji wote wawajibishwe na wapewe adhabu wanayostahili
Hili suala la ni la kitaifa zaidi lakini kuna politicians wanatumia mgongo huo huo kuserereka nalo kwa manufaa yao binafsi
Nimewataja hao kina Maria kwa kuwa ndiyo Maengineer wa haya maandamano ya tarehe 29 na hayo yatakayokuja wao wameona kilichotokea maandamano yale hatukujipanga na hata haya bado mpaka mda huu hatujajipanga
Kuna pande mbili bado kuna Mange anayesema yawe ya amani na kuna upande wa kina Sativa wanaosema yawe ya mbwai kwa mbwai
Yakiwa ya amani itakuwa poa sana japo kwa demand ambayo wanayo wananchi ya kuomba Rais ajiuzulu hayawezi kuwa maandamano ya amani hata Mara moja lazma kuna mizozo itatokea tu
Mfuatilie yule Rais wa Venezuela Nicolas Maduro watu wamefanya maandamano makubwa zaidi ya mara 10 na bado kang'ang'ania tu
So hii approach tuliochagua sioni kuwork out zaidi ya watu kuendelea kupoteza uhai wao kama ilivyokuwa tarehe 29