Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,623
- 49,575
Hakutakuwa na maandamano.
anayebisha tuwekeane millioni 1 kwa millioni 1. Never, never, never never.
Siungi mkono ukandamizaji au torture ya aina yoyote ila naandika kwa kutumia jicho la 3.
Kitakachofanyika ni kwamba serikali kuweka hali ya dharula barabara kuu zote za majiji hasa Dar es salaam kuanzia tarehe 7 -8.
Mpaka tarehe 9 kugonga hodi kila mtu atakuwa amejifungia ndani.
Hakuna maandamano.
Ile tarehe 29 ni mkono wa Mange kuwajaza upepo watu kuwa TPDF iko tayari kuchukua nchi hivyo wanasubiri tu wananchi waliamshe wao wamalize kazi.
Wananchi wakiona alert za huko barabarani kuanzia tarehe 7 mpaka 8 hakuna propaganda nyingine inaweza kuwapeleka barabarani.