PostGE2025 Mtazamo wangu kuhusu tarehe 9 Disemba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni kweli hiyo tarehe haitakuwa na chochote kila mtu atajifungia ndani ile ya mwanzo wengi iliwakauta katika vibarua vyao ikabidi tu nao waungane ili wafike nyumbani

Hii ya sasa hivi watu watajifungia zao ndani labda BAVICHA kadhaa wakajitoe sadaka na hawatapata mtu wa kumshawishi

Maafa makubwa yametokea ndugu zetu wengi wamefariki tena vifo vibaya sana sana mioyo yetu haijapona mnataka kutuingiza kwenye matatizo tena na nchi yetu haijafikia kiwango hiko cha mtu kuona bora afe kuliko kuongozwa na huu utawala narudia tena nchi yetu haijafikia kiwango hiki

Hizo Propaganda za kina Mange na Maria eti niandamane kwa sababu Abdul anamiliki Rolls Royce mimi sina hata baiskeli ni upumbavu

Na kuna namna hawa watu wanafaidika na huu uchochezi mtu kama hilda mda wote anatuma taarifa za uchochezi akiwa huko Kenya na mtu hawezi kufanya kitu bila kuwa na maslahi nacho

Mi roho inaniuma na hadi kumbukumbu zinagoma kupotea kushuhudia watu wawili wakikata roho kwa kupigwa risasi halafu kuna majitu yapo ulaya mengine Kenya hatujapona vizuri yanataka watu wakaumie tena na itatengeneza kikundi cha hamasa watawapa mtonyo hiyo siku kwa ajili ya kuwachuza wenzao kuwaingiza kwenye mkumbo

Yule Sativa naye ana ndugu zake Mbeya kule na familia yake sijaona akiripoti hata kifo cha mtu wake wa karibu hii inaonekana kwamba amewaweka mahali salama na penye utulivu na hakuna aliyeenda front

Diaspora mnachokifanya sio sawa hata kama mnatumika au mnafanya kwa maslahi yenu binafsi mjaribu kutufikiria na sisi huku zile damu zilomwagika mwanzoni inatosha sana na tusiombe ijirudie tena

Diaspora ningewaona wa maana kama na wao wangepanda ndege kuja Tanzania kuungana na wenzao ile tarehe 29 ila wao wameishia kwenye Keyboard tu huku watoto maskini wasio na hatia ambao walichochewa na hao Diaspora wakiangamia
Wewe jamaa ni mpumbavu sana. Mwanzoni mada zako nilikuwa naziona kama zipo neutral japo kwa jicho la 3 nilikuwa naziona zinatetea mafisadi. Ila kwa hii comment yako imeonyesha kabisa upo upande gani. Itoshe kusema wewe ni punguani.
 
Kashachanwa bikira ya matako kwahiyo ni kuhara tu
 
Kwahiyo kupitia mkd wako umeona maandamano hakuna tar 9?

Hilo jicho lako litakuwa limepoteza lenzi mbinuko na mbonyeo kwa pamoja.. tumia la nne unaweza kuona vizuri..!!
 
Ni kweli hiyo tarehe haitakuwa na chochote kila mtu atajifungia ndani ile ya mwanzo wengi iliwakauta katika vibarua vyao ikabidi tu nao waungane ili wafike nyumbani

Hii ya sasa hivi watu watajifungia zao ndani labda BAVICHA kadhaa wakajitoe sadaka na hawatapata mtu wa kumshawishi

Maafa makubwa yametokea ndugu zetu wengi wamefariki tena vifo vibaya sana sana mioyo yetu haijapona mnataka kutuingiza kwenye matatizo tena na nchi yetu haijafikia kiwango hiko cha mtu kuona bora afe kuliko kuongozwa na huu utawala narudia tena nchi yetu haijafikia kiwango hiki

Hizo Propaganda za kina Mange na Maria eti niandamane kwa sababu Abdul anamiliki Rolls Royce mimi sina hata baiskeli ni upumbavu

Na kuna namna hawa watu wanafaidika na huu uchochezi mtu kama hilda mda wote anatuma taarifa za uchochezi akiwa huko Kenya na mtu hawezi kufanya kitu bila kuwa na maslahi nacho

Mi roho inaniuma na hadi kumbukumbu zinagoma kupotea kushuhudia watu wawili wakikata roho kwa kupigwa risasi halafu kuna majitu yapo ulaya mengine Kenya hatujapona vizuri yanataka watu wakaumie tena na itatengeneza kikundi cha hamasa watawapa mtonyo hiyo siku kwa ajili ya kuwachuza wenzao kuwaingiza kwenye mkumbo

Yule Sativa naye ana ndugu zake Mbeya kule na familia yake sijaona akiripoti hata kifo cha mtu wake wa karibu hii inaonekana kwamba amewaweka mahali salama na penye utulivu na hakuna aliyeenda front

Diaspora mnachokifanya sio sawa hata kama mnatumika au mnafanya kwa maslahi yenu binafsi mjaribu kutufikiria na sisi huku zile damu zilomwagika mwanzoni inatosha sana na tusiombe ijirudie tena

Diaspora ningewaona wa maana kama na wao wangepanda ndege kuja Tanzania kuungana na wenzao ile tarehe 29 ila wao wameishia kwenye Keyboard tu huku watoto maskini wasio na hatia ambao walichochewa na hao Diaspora wakiangamia
Mbona umejidhalilisha sana!! Nini tatizo?

Kwahiyo wewe unaona ni sawa nchi ikitafunwa kwa kodi zako?
Mke na watoto wako wamepata hasara..!!

Wewe hata wakikulawiti ni sawa kikubwa usipigwe na polisi!!? Kama taifa lina wanaume aina yako ni sawa polisi wawavamie huko huko majumbani wapunguze mapunguani km wewe.
 
Tusifikie huku Dada angu 😅
 
Tusifikie huku Dada angu 😅
Aiseee umenishangaza!!
Yaani hiki kinachofanywa na serikali wewe unakiona cha kawaida kabisaa??

Watu wanatekwa na kuuliwa, kodi zetu walala hoi zinawaneemesha wao na vizazi vyao. Huku sisi tukihangaika kwa kodi lukuki na bado tukiumwa dawa hakuna mahospitalini. Kumuona daktari tu elfu 8.

Halafu wao wamejaza ma-Bugatti na mijengo isiyo na idadi ya kifahari.
Kisha na mkia wako unasema bora waendelee kuliko wewe kudai haki yako ya msingi eti kisa utapigwa..!!!

Hivi kama sio wewe kusimamia na kukomesha huu udhalimu unategemea nani aje kukusaidia kwa kizazi chako??

Umenihuzunisha sana mkuu, ni bora ukanyamaza kuliko kutetea upumbavu na kukatisha wengine tamaa ya kudai haki.
 
Maandamano yanaweza kuwepo ila safarihii vyombo vya ulinzi vimejipanga, ata satellite zimulike kama tochi, wale waporaji wa mali za watu watakuwa na wakati mgumu kuliko tarehe 29.

Na itakuwa fundisho la Hali ya juu kutokea.
Kwenye ulinzi wa watu na mali zao vyombo havita ruhusu makosa,Wezi wata umizwa kuliko panya load.
 
Hakutakuwa na maandamano.
anayebisha tuwekeane millioni 1 kwa millioni 1. Never, never, never never.

Siungi mkono ukandamizaji au torture ya aina yoyote ila naandika kwa kutumia jicho la 3.

Kitakachofanyika ni kwamba serikali kuweka hali ya dharula barabara kuu zote za majiji hasa Dar es salaam kuanzia tarehe 7 -8.

Mpaka tarehe 9 kugonga hodi kila mtu atakuwa amejifungia ndani.
Hakuna maandamano.

Ile tarehe 29 ni mkono wa Mange kuwajaza upepo watu kuwa TPDF iko tayari kuchukua nchi hivyo wanasubiri tu wananchi waliamshe wao wamalize kazi.

Wananchi wakiona alert za huko barabarani kuanzia tarehe 7 mpaka 8 hakuna propaganda nyingine inaweza kuwapeleka barabarani.
Mleta uzi lini uko free nije nikuue?
 
Hata kipindi kile mlisema hivyohivyo
 
Lugha wanayoielewa ccm na polisi wao, ni kuteka, kutesa, kupoteza na kuua.

Wananchi siyo lazima uje barabarani, popote ulipo kama unaifahamu familia ya mwana ccm na polisi ilipo, kijijini au mjini, siku hiyo chukua chupa ya petroli weka utambi washa rusha wawake, kama hawapo choma mali zao, wakati wanauwa wananchi barabarani nawao ndugu zao wauwawe popote walipo.

Tusipoongea lugha yao hawata tusikia na kutuelewa, hivyo tukazungumze lugha yao kwa sauti kubwa ili wasikie na watuelewe.

If you want peace, prepare for a war, and there is no war without death.

Tukutane D9.
 
Wewe jamaa ni mpumbavu sana. Mwanzoni mada zako nilikuwa naziona kama zipo neutral japo kwa jicho la 3 nilikuwa naziona zinatetea mafisadi. Ila kwa hii comment yako imeonyesha kabisa upo upande gani. Itoshe kusema wewe ni punguani.
Ahsante Mkuu, ila kuniita punguani umekosea sana kutofautiana mtazamo haihalalishi kutoana akili

Hata mimi nataka hata leo hii serikali dhalimu iondoke au iondoshwe

Nataka pia wauaji wote wawajibishwe na wapewe adhabu wanayostahili

Hili suala la ni la kitaifa zaidi lakini kuna politicians wanatumia mgongo huo huo kuserereka nalo kwa manufaa yao binafsi

Nimewataja hao kina Maria kwa kuwa ndiyo Maengineer wa haya maandamano ya tarehe 29 na hayo yatakayokuja wao wameona kilichotokea maandamano yale hatukujipanga na hata haya bado mpaka mda huu hatujajipanga

Kuna pande mbili bado kuna Mange anayesema yawe ya amani na kuna upande wa kina Sativa wanaosema yawe ya mbwai kwa mbwai

Yakiwa ya amani itakuwa poa sana japo kwa demand ambayo wanayo wananchi ya kuomba Rais ajiuzulu hayawezi kuwa maandamano ya amani hata Mara moja lazma kuna mizozo itatokea tu

Mfuatilie yule Rais wa Venezuela Nicolas Maduro watu wamefanya maandamano makubwa zaidi ya mara 10 na bado kang'ang'ania tu

So hii approach tuliochagua sioni kuwork out zaidi ya watu kuendelea kupoteza uhai wao kama ilivyokuwa tarehe 29
 
Aiseee umenishangaza!!
Yaani hiki kinachofanywa na serikali wewe unakiona cha kawaida kabisaa??

Watu wanatekwa na kuuliwa, kodi zetu walala hoi zinawaneemesha wao na vizazi vyao. Huku sisi tukihangaika kwa kodi lukuki na bado tukiumwa dawa hakuna mahospitalini. Kumuona daktari tu elfu 8.

Halafu wao wamejaza ma-Bugatti na mijengo isiyo na idadi ya kifahari.
Kisha na mkia wako unasema bora waendelee kuliko wewe kudai haki yako ya msingi eti kisa utapigwa..!!!

Hivi kama sio wewe kusimamia na kukomesha huu udhalimu unategemea nani aje kukusaidia kwa kizazi chako??

Umenihuzunisha sana mkuu, ni bora ukanyamaza kuliko kutetea upumbavu na kukatisha wengine tamaa ya kudai haki.
Sikatai kudai haki wala kukatisha watu tamaa

Mimi nakataa approach inayoenda kutumika tarehe 9 December wabadili approach au wasikilizie matakwa yao kutoka kwa gavoo kama wakienda vile vile sidhani kama tutapata ushindi
 
Ni kweli hiyo tarehe haitakuwa na chochote kila mtu atajifungia ndani ile ya mwanzo wengi iliwakauta katika vibarua vyao ikabidi tu nao waungane ili wafike nyumbani

Hii ya sasa hivi watu watajifungia zao ndani labda BAVICHA kadhaa wakajitoe sadaka na hawatapata mtu wa kumshawishi

Maafa makubwa yametokea ndugu zetu wengi wamefariki tena vifo vibaya sana sana mioyo yetu haijapona mnataka kutuingiza kwenye matatizo tena na nchi yetu haijafikia kiwango hiko cha mtu kuona bora afe kuliko kuongozwa na huu utawala narudia tena nchi yetu haijafikia kiwango hiki

Hizo Propaganda za kina Mange na Maria eti niandamane kwa sababu Abdul anamiliki Rolls Royce mimi sina hata baiskeli ni upumbavu

Na kuna namna hawa watu wanafaidika na huu uchochezi mtu kama hilda mda wote anatuma taarifa za uchochezi akiwa huko Kenya na mtu hawezi kufanya kitu bila kuwa na maslahi nacho

Mi roho inaniuma na hadi kumbukumbu zinagoma kupotea kushuhudia watu wawili wakikata roho kwa kupigwa risasi halafu kuna majitu yapo ulaya mengine Kenya hatujapona vizuri yanataka watu wakaumie tena na itatengeneza kikundi cha hamasa watawapa mtonyo hiyo siku kwa ajili ya kuwachuza wenzao kuwaingiza kwenye mkumbo

Yule Sativa naye ana ndugu zake Mbeya kule na familia yake sijaona akiripoti hata kifo cha mtu wake wa karibu hii inaonekana kwamba amewaweka mahali salama na penye utulivu na hakuna aliyeenda front

Diaspora mnachokifanya sio sawa hata kama mnatumika au mnafanya kwa maslahi yenu binafsi mjaribu kutufikiria na sisi huku zile damu zilomwagika mwanzoni inatosha sana na tusiombe ijirudie tena

Diaspora ningewaona wa maana kama na wao wangepanda ndege kuja Tanzania kuungana na wenzao ile tarehe 29 ila wao wameishia kwenye Keyboard tu huku watoto maskini wasio na hatia ambao walichochewa na hao Diaspora wakiangamia
Akili yako ni ndogo sana ndiyo maana unafugwa na limshangazi!!
 
Aiseee umenishangaza!!
Yaani hiki kinachofanywa na serikali wewe unakiona cha kawaida kabisaa??

Watu wanatekwa na kuuliwa, kodi zetu walala hoi zinawaneemesha wao na vizazi vyao. Huku sisi tukihangaika kwa kodi lukuki na bado tukiumwa dawa hakuna mahospitalini. Kumuona daktari tu elfu 8.

Halafu wao wamejaza ma-Bugatti na mijengo isiyo na idadi ya kifahari.
Kisha na mkia wako unasema bora waendelee kuliko wewe kudai haki yako ya msingi eti kisa utapigwa..!!!

Hivi kama sio wewe kusimamia na kukomesha huu udhalimu unategemea nani aje kukusaidia kwa kizazi chako??

Umenihuzunisha sana mkuu, ni bora ukanyamaza kuliko kutetea upumbavu na kukatisha wengine tamaa ya kudai haki.
Huyo jamaa nimemwambia ni punguwani. Usimalize nguvu zako kumwelewesha punguani dada angu
 
Back
Top Bottom