threngthern ua brain huo ndo uchochezi , 40 millions tz population bado tunawagombanisha kiba na mondi ,tunawanamuziki wengi wengi ambao tunapaswa wainuliwe wakiambatana na kiba na dimond, ili tupate vingi vya kujivunia na sio kuchochea fitna sisizo na manufaa kwao na matusi yanayoondoa ufanisi kwa wanamuziki wetu ,
hebu tujaribu kuwafanya hawa wanamuziki wawe na tija kwetu na kwa wanamuziki wenzao na si kwa chuki na fitna zetu ili baadae tuwe na vingi tuvipendavyo na sio kimoja tukipendacho na tukichukiacho bila sabb za msingi .VIVA DIOMOND KWA KAZI NZURI VIVA KIBA KWA KAZI NZURI PIA WANAOENDEKEZA MABIFU YENU NDIO WANAOCHIMBIA KABURI MZIKI WA TANZANIA WAKATAENI MSIBEBE MISALABA YA FANS WENU.