Mtazamo wangu kuhusu Kiba na Mond

Mtazamo wangu kuhusu Kiba na Mond

Kiuhalisia Diamond anaweza zaid ya Ally yaan this time naangalia this new song Nana najiuliza hivi Ally Kiba anaweza akafanya mambo makubwa kama haya?

Then I can see Diamond management wana plan za mbali zaid ya Ally kwan wao wanaongea maneno but upande wa diamonds wanaongea kazi so kama ni wewe unaona nan anaweza hapo tule anayeongea tu hatuoni kazi au yule anayetoa kazi na kupata airtime all over the Africa ?

Una maana huoni kazi wakati kila radio unayotune lazima ukutane na mwanadar es salaam. Mbona mnajifanya maskio mmeziba pamba??? Hahahahah!! Hivi hujasikia wasouth wanataka rekebisha hiyo NANA?

Domo hana pumzi, wanataka kumsaidia kidogo walau sauti itoke!!! Chezea laana za davido wewe!! Mnafikiri kufanya kazi na wanigeria ndo kutoka??! Hahahahhaahhahaha kiba hahitaji kolabo ili atoke bebe!
 
Kuna sehem jana nilikua nashave kidogo najihandsomisha barbershop kuna mtu akaniambia kama bifu la diamond na kiba likiisha wakapatana au walatoa kazi.

Mziki wa kiba au diamond utapungua changamoto flani mana ukiwa na mshindani mtu unakua hulali unawaza ni vp nifanye vzr nimzibe mdogo mpinzani wangu. Mwisho wa siku ni kipato na sifa kubwa unapata. Wacha waendelee na utafauti wao tu.

Nakubaliana na ww 100%... tofaut zikiisha bas wote wawili watabweteka na kufanya mziki kawaida sana. Ila nawakubali sana wote wawili japo sina team
 
Sasa wanataka kukupangia life style lako kisa domo mbona wana vituko hivo yani wanataka ukeshe Jf ili wasikujudge. Hao watu ni useless tena ni fool aisee yani wana take ya Jf so serious hivo.
Ni ujinga kufikiria eti bifu ndo linamfanya mtu a heat. Nyimbo nzuri na kukubalika na rika zote ndo zinakufanya ukubalike. Haya ya mabifu ni ujinga tu wa wachache kutokufikiria mbali.

Tatizo watu wanataka kunipangia vya kufanya huku ambao ni upuuzi.
Eti kila uzi natakiwa nicomment? Khaaaa, nikifanya hivyo wanakuja kama wale mataahira wengine nadhani unawakumbuka.
Sio kila uzi nitauchangia humu, sitaki kubishana na watu wenye stress za maisha mimi.

Nashangaa hilo bifu analolisemea kiukweli, inamaana Kiba hatoi miziki mizuri au hatoi kabisa kinachomuweka juu ni bifu?
Nilitaka niendelee kuandika lakini ngoja niache tu mwaya usipate headache kwa gazeti...lol
 
msanii wetu kiba ni wa local, huyo mondi ni international, kwahyo tuachieni kiba wetu, mbona mnahangaika naye

Hahahahaaa ajabu sasa.Kwani tumewaingilia kwenye BET?
Watuache tu na u local wetu na King wetu.
 
Unataka watu watokwe povu heeeeeeee ukweli mchungu

Nani atokwe povu? Hapa ni hoja kwa hoja, subiri tumpe mwenzako dawa maana analeta habari zisizo na kichwa wala miguu.
 
Kwa ulivochangia, wala siongezi kitu.
 
Kwahiyo umejibu swali sio ??
...duuh!, ndo mashabiki wake hawa!!!

Wewe ni mtupu sana kichwani.Katika maswali yangu yote kuna ulilolijibu hata moja?
Ukifungua uzi uwe unajipanga sio unaleta pumba zako ukidhani tutakuchekea.
Tulia dawa ikuingie vizuri.
 
Tatizo watu wanataka kunipangia vya kufanya huku ambao ni upuuzi.
Eti kila uzi natakiwa nicomment? Khaaaa, nikifanya hivyo wanakuja kama wale mataahira wengine nadhani unawakumbuka.
Sio kila uzi nitauchangia humu, sitaki kubishana na watu wenye stress za maisha mimi.

Nashangaa hilo bifu analolisemea kiukweli, inamaana Kiba hatoi miziki mizuri au hatoi kabisa kinachomuweka juu ni bifu?
Nilitaka niendelee kuandika lakini ngoja niache tu mwaya usipate headache kwa gazeti...lol

Upuuzi tu unawasumbua na kujifanya vichwa ngumu. Jf kuna watu wana stress zao za kimaisha wakija huku wanatafta pa kupunguzia.
Wapenda league za kijinga kisa kutofautiana bora kuwapuuzia tu mana watu tumetofautiana uelewa.
Madai yao msanii wao ndo best wengine hawajui kitu Mpaka wamtaftie bifu eti ili kazi zao zikubalike loh🙄🙄😎😎
 
Nakubaliana na ww 100%... tofaut zikiisha bas wote wawili watabweteka na kufanya mziki kawaida sana. Ila nawakubali sana wote wawili japo sina team

Kweli kabisa mkuu beef hua inaboost game 50Cent bs Ja Rule" Jay Z vs Nas Nigeria Davido vs Wizkid bongo Joh makini vs Chidi benz kipindi kile au Nay vs Chidi kwa sahv Diamond Plutnumz vs Alikiba yan hatari sana. Ila ubaya wa beef at the end mmoja anaweza akapotea mazima
 
yaani ujue nashindwa kuelewa kabisa, shida sijui nini, kiba hana uwezo wa kufanya collabo na davido wala flavour, matatizo yanatokea wapi? sie hadhi yetu akina seseme

Hahahahaaa halafu bado wanahangaika na sisi....vipi tukifanya hizo collabo na sisi si watu watakimbia JF miezi?
Ajabu hii msanii local anawanyima usingizi wa kimataifa!
 
Back
Top Bottom