Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,376
Guilty as charged! Ila tafuta tu kamusi....mimi mwenyewe nimemezeshwa hii mineno.
Nimezeshe na mimi.Kama na wewe ungekua ulitafuta kamusi na mimi ningefanya hivyo....
Haya niambie ulikua na maana gani pale?