Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,941
- 29,694
Mzuka wanajamvi.
Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.
Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti pamoja na mdogo wake.
Inasemekana MBS ali huzunika sana. Hako kasichana ni pisi balaa.
Mfalme/mtawala wa Dubai na familia ya Salman ni marafiki wakubwa sana. Na walitaka kuimarisha urafiki zaidi bond kwa MBS kuoana na hako kabinti ambaye sasa hivi ni miaka 17.
Source: mama yake huyo binti Haya binti Hussein ambaye ni mdogo wake king Hussein wa Jordan alipokuwa akitoa ushaidi mahakmani uingereza.