Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
- #401
Sawa kabisa mdau..Hizi adha kuna watu sijui hawazioni??Tatizo sio kuivuta nakuilaza juu Mkuu,tatizo hisia inakaa rohoni,wanaume tunapata mfadhaiko mpaka tunagongwa na Bajaj,kwa kweli hata ukikwepa kutazama,kule utakapo kwepea unakutana na ingine inatikisika kama Tractor shambani.