Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Sasa mkuu si unaivuta tuu unailaza kwa juu kwenye mkanda wala hamna atakayejua ,kosa labda uwe ni mvaaji wa suruali ya kitambaa
Tatizo sio kuivuta nakuilaza juu Mkuu,tatizo hisia inakaa rohoni,wanaume tunapata mfadhaiko mpaka tunagongwa na Bajaj,kwa kweli hata ukikwepa kutazama,kule utakapo kwepea unakutana na ingine inatikisika kama Tractor shambani.
 
Mkuu kwani ni kosa kisheria kutembea huku umesimamisha ?? Wewe ukiwaona simamisha tu
duh!mkuu we noumer naona unamshauri mwenzako asmamishe tu wakati hali kwake mbaya
 
Pamoja na utandawazi ila hali ngumu imechangia biashara sokoni kuwekwa wazi ktk kioo angavu.
 
Akikusahihisheni au kusema ukweli,mnakuwa kama wanawake kwenye kitchen party,yaani full kujishaua kama mmepaka lipstick eti oooh ajuza oooh bibiii oooh my foot,unamjua vizuri? unarukia pikipiki kwa mbele? utakatika korodani,kwa nini usichangie hoja tukapata faida badala ya kumuandama mtu huyo huyo kila mara,akitoa hoja yoyote tayari mnaanza kuhara,kwani mwanamke jukwaani ni yeye peke yake?,au huo ushungi ndio sababu,hakuna mwanaume dhaifu duniani kama yule anaeonea wanawake,wewe mama yako au bibi yako sio ajuza,kwa hiyo ajuza ni dhambi?,kama ni dhambi basi hata wazee wako wana dhambi.
 
Kwani kazi ya chupi ni nini haswa???
Kusitiri tupu au maumbile,na kama haina kazi,basi msivae mkiwa period,tembeeni hivyo hivo ndio mtajua tofauti kati ya mnyama na binadamu,baba,kaka,wajomba,mama zenu watawasifu na kuwapa zawadi.
 
  • Thanks
Reactions: irk
tatizo unawakodolea macho sana hivyo lazima upate balaa la kwenda mnara, ukiendeleza hiyo tabia soon utakuwa dungadunga kwenye daladala na mwendo kasi
 
Akikusahihisheni au kusema ukweli,mnakuwa kama wanawake kwenye kitchen party,yaani full kujishaua kama mmepaka lipstick eti oooh ajuza oooh bibiii oooh my foot,unamjua vizuri? unarukia pikipiki kwa mbele? utakatika korodani,kwa nini usichangie hoja tukapata faida badala ya kumuandama mtu huyo huyo kila mara,akitoa hoja yoyote tayari mnaanza kuhara,kwani mwanamke jukwaani ni yeye peke yake?,au huo ushungi ndio sababu,hakuna mwanaume dhaifu duniani kama yule anaeonea wanawake,wewe mama yako au bibi yako sio ajuza,kwa hiyo ajuza ni dhambi?,kama ni dhambi basi hata wazee wako wana dhambi.

Mkuu hata mimi tabia hii ya baadhi ya members huwa inanikera sana, yaani akijitokeza tu kuchangia jambo la maana wao wana derail mada kabisa na kuanza kumshambulia bila sababu!!!

Nafikiri tatizo ni male chuvanism walizo copy wakati wa makuzi yao - binadamu wenye traits za nanma hiyo ni wazi hata manyumbani mwao ni wanyanyasaji wakubwa wa akina mama!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom