Abby-Sally
Member
- Dec 18, 2014
- 77
- 10
Huu ni ushetani kabisa
yaani ......... alikuwa ana matatizo gani sijui
Makaratasi ndo yawafanya waoe wazungu,jamani hawa malaika wameiliwa bila sababu
Hapa ktk dash, mii ndio nimeelewa!
miss neddy kama hiyo picha ya kwenye avatar yako ni sura yako ni pm pleaseyaani ......... alikuwa ana matatizo gani sijui
miss neddy kama hiyo picha ya kwenye avatar yako ni sura yako ni pm please
nishakupm angalia inbox
haha umeelewa nn hapo
miss neddy kama hiyo picha ya kwenye avatar yako ni sura yako ni pm please
Kumkomoa Ex wake...nimesoma hii kwenye blog ya wapopo...Kwa nini aliwaua watoto wake?
Mtanzania aliyeua watoto wake ahukumiwa
Ndio mimi ninawaogopa kuwaowa Wazungu kwa hayo matatizo hakawi kukuambia hakutaki unaweza kuchukuwa hautuwa mbaya zaidi ya huyu Shetani wa kibongo kuwauwa watoto wake Mkuu nyumba kubwa Mapenzi ya kizungu Sisi Watu weuesi hatuyawezi kabisa.Kumkomoa Ex wake...nimesoma hii kwenye blog ya wapopo...
Ama kapeperusha bendera ya Tz...
Ndoa na wadhungu kwa wanaume wa kiafrika si mchezo...
Ukiwa na roho ngumu unachizika kama huyu...