Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

Kwa nini aliwaua watoto wake?

Aliachana na mama watoto..akapoteza custody ya kuishi na watoto japo alipata haki ya kuwaona kila baada ya muda..pengine hii ilipelekea/kuchochea kumkomesha ex wake huyo..wakose wote..
 
Apo ndio utaamin sisi binadam waajabu kama wanyama wa polini mtu anauwa watoto wake wazuri ivyo???

..na hakuonekana kujutia alichofanya. .
 
Aliachana na mama watoto..akapoteza custody ya kuishi na watoto japo alipata haki ya kuwaona kila baada ya muda..pengine hii ilipelekea/kuchochea kumkomesha ex wake huyo..wakose wote..

Aiseee atakuwa alikosa mtu wa kumfanyia counseling
 
cc wabeba box muwe mnaoa nyumbani kuepusha kuchanganyikiwa kama huku

..aisee umesahau matukio ya karibuni wapenzi kuuana uana hapa bongo...BTw tena kuna report ilitoka kuonesha takwimu za sehemu watu wanaojiua sana hapa bongo..
 
Wange mpima kama alikuwa na mental disorder!!! mtu kuua watoto wake mwenyewe mmmmh

Yah ila ukiwa na itikadi za kisisiemu pekee....

hata kama wananchi wale nyasi lakini ndege ya raisi itanunuliwa tu..-B.Mramba

kama huna mia mbili piga mbizi..- magufuli

Nitatoa ajila million moja kwa mwaka na kweli watu wakapoteza ajila kila mwaka-- Jk
 
Kwa hilo hana lawama kwisha maliza mzigo maana angeharibu akafungwa watoto wangelalamika rip vhaz mihayo.. Sawaloloo bwana hakimu..
 
Yah ila ukiwa na itikadi za kisisiemu pekee....

hata kama wananchi wale nyasi lakini ndege ya raisi itanunuliwa tu..-B.Mramba

kama huna mia mbili piga mbizi..- magufuli

Nitatoa ajila million moja kwa mwaka na kweli watu wakapoteza ajila kila mwaka-- Jk

Kama ni safari ya kwenda Moshi basi umeniacha Chalinze!!!!!!
 
anastahili mana huu ukatili sio kabisaa
 
Back
Top Bottom