Mpyena
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 993
- 1,272
Kuangalia tamthilia za Kituruki na kutuletea viswahili vya huko acheni !!kumhusu
Kuangalia tamthilia za Kituruki na kutuletea viswahili vya huko acheni !!kumhusu
This guy is talented, we wish him all the best in his endeavours.Fuatilia Azam news wametoka taarifa ya kina kumhusu,wameenda Hadi Kwao marangu kuhoji wazazi,wametoka história yake Ktk masuala hayo,Jamaa alisomea Finland,alienda Hadi NASA
Hakuna satellite inakaa aridhini na kupokea taarifa mkuu, satellite inatoa taarifa...afu hii mbona iko YouTube siku nyingi.Ni zile satellite za kurusha angani ama ni zile kama dish la azam tv zinakaa chini kupokea taarifa.
Kuna mawe zako, 🤣🤣🤣Nilielezeaga humu
![]()
Simulizi kuhusu kazi zangu katika taasisi ya NASA
Habari Baada ya kimya cha muda mrefu leo nimeona si vibaya kuja na uzi unaoeleza kuhusu shughuli ninazo zifanya huku ughaibuni. Nimekuwa muajiriwa wa NASA kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa katika kitengo cha earth to mars lauching systems. Katika kitengo hichi kuna mainjinia takribani ishirini...www.jamiiforums.com
Yaani atueleze hio launch pad ilikuwa wapi ? ni Cape Canaveral au Baikonur Cosmodrome?Swali hio satellite ameirushaje naona toka juu haujibu undundadunda tu
Wadau walinishikiliaga sana 😂😂🤣Kuna mawe zako, 🤣🤣🤣
Wewe Ulitaka airusheje?Swali hio satellite ameirushaje naona toka juu haujibu undundadunda tu
Aisee!satellite ya ny*** kama mmetuchoka mseme
AmenThis guy is talented, we wish him all the best in his endeavours.
Wivu utakuua wewe mnakua,nenda shuleSatellite sio jiwe kwamba unafunga kwenye kombeo unarusha. Acheni bangi mbichi
Fuatilia Azam wameeleza Kila kituYaani atueleze hio launch pad ilikuwa wapi ? ni Cape Canaveral au Baikonur Cosmodrome?
anasema ni Marangu 🤣
Na hizo booster zilitumia rocket fuel gani? na je ni reusable kama za Elon Musk?
Wewe kilaza huwezi kuelewa kituFuatilia Azam wameeleza Kila kitu
Usiwe na wivu ameshakuzidi Kila kitu better join him😀😀😀