Mtanzania atengeneza satelaiti

Mtanzania atengeneza satelaiti

Hata hizo za azam ujue juu pia imerushwa angani ile umayoiona chini ni receiver tu unapokea mawimbj kutoka angani

Za angani
1717615003489.png
 
Safi sana,habari njema hii

Ila sijuwi kama watanzania watamuelewa na kumpa airtime
Watanzania wee waambie wakuna doto magari,mwijaku,baba level,konde,monde,zchu,mandonga hao ndy role model zao

Ova
Ongeza hapo na wapuuzi wengine kika Lisu,Heche ,Lema and the likes
 
Wanairushaje, hebu tuelimishe
Rocket science sio mchezo. Sio vyepesi hata kidogo.
NASA huwa wakifanikisha project ya kurusha uakuta kwenye kile chumba cha mawasiliano watu wanapiga kelele kama wehu, hii inaonyesha si kitu chepesi.
 
Wanairushaje, hebu tuelimishe
Nilielezeaga humu

 
Natamani kujua alifanya majaribio lini ya kuipeleka angani na alifanyia wapi na kwa gharama gani
Soma kwa undani story yake,alienda Hadi NASA
 
Kaleteni taarifa za kutosha na video ni muhimu pia. Na ikiwezekana atangazwe hadi kwenye taarifa ya habari.

Mlikosea kitu kimoja, siku ya kuzindua hiyo satelite mlitakiwa mrushe tukio laivu ili kuhamasisha wanasayansi wa ndani.

Swali kwenu wataalamu!

1. Je, hiyo satelite imerushwa kwa kutumia mtambo gani?
2. Je, hiyo satelite imerushwa humu humu Tanzania?

Au satelite huwa inarushwa kama drone tu?

Majibu ya kitaalamu tafadhali, sisi ambao hatujui tujue kabla ya kutoa pongezi mana bongo kwa sasa tunachezeana sana. Badala ya kuwa siriasi tunaleta utani huku vitu vizuri tunavitaka. Rejea gari la UDSM na Robot Yunisi
Fuatilia Azam news wametoka taarifa ya kina kumhusu,wameenda Hadi Kwao marangu kuhoji wazazi,wametoka história yake Ktk masuala hayo,Jamaa alisomea Finland,alienda Hadi NASA
 
Back
Top Bottom