luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
- Thread starter
- #21
NaamHongera kwake na asaidiwe aendeleze kipaji chake.
NaamHongera kwake na asaidiwe aendeleze kipaji chake.
Nita attachTunaomba taarifa kama hizi zije na picha tafadhali
Ameassemble vifaa kadhaa na kupata receiver, kutengeneza kunatafsiri pana sanaNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali ya hewa.
Satellite hiyo imefanyiwa majaribio katika mikoa kadhaa na kutoa matokeo chanya.
Kongole Engineer Léonard Shayo
Chanzo: Azam news
Ana rocket ya kurushia?Za angani
Hiyo ni hoja nyingineAna rocket ya kurushia?
Nimecheka sana hao role model wa watz, kina Shilole, Gigy,Mobeto, Oscar, Kitenge, Manara ....🤣Safi sana,habari njema hii
Ila sijuwi kama watanzania watamuelewa na kumpa airtime
Watanzania wee waambie wakuna doto magari,mwijaku,baba level,konde,monde,zchu,mandonga hao ndy role model zao
Ova
Kweli hii taarifa haina maelezo ya kutosheleza.Ni zile satellite za kurusha angani ama ni zile kama dish la azam tv zinakaa chini kupokea taarifa.
Si kweliZa angani
Sure lo Inapendeza sana