Mtanzania atengeneza satelaiti

Mtanzania atengeneza satelaiti

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
10,701
Reaction score
8,906
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali ya hewa.

Satellite hiyo imefanyiwa majaribio katika mikoa kadhaa na kutoa matokeo chanya.

Kongole Engineer Léonard Shayo

Chanzo: Azam news
 
Azam kuna kampuni ya satellite wanailipia.
Ndio maana nlikuwa nashangaa kama amerusha hizo satellite kwenye low orbit, lakini kongole kwake kazi nzuri sana. Inapaswa waendelezwe zaidi.
Exactly...azam wamepewa frequency flani kwenye band ya satellite wanatumia kupitisha transmission zao
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali ya hewa.

Satellite hiyo imefanyiwa majaribio katika mikoa kadhaa na kutoa matokeo chanya.

Kongole Engineer Léonard Shayo

Chanzo: Azam news
Hongera kwake na asaidiwe aendeleze kipaji chake.
 
Safi sana,habari njema hii

Ila sijuwi kama watanzania watamuelewa na kumpa airtime
Watanzania wee waambie wakuna doto magari,mwijaku,baba level,konde,monde,zchu,mandonga hao ndy role model zao

Ova
Kwakweli
 
Back
Top Bottom