Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

RIP mtanzania mwenzetu. Ina maana ile kauli ya Mh. Rais ya kuwasitiri wenzetu katika makao ya milele sehemu za asili au makaazi yao Tanzania bado haitekelezeki.

Maana ingewezekana kabisa maiti iletwe Tanzania kufuatana na taratibu za IATA na kama kweli alifia akiwa angani ndani ya ATCL..
Mkuu unazijua Air Laws?
Kosa au tukio lolote linalotokea kwenye ndege ikiwa anga la nchi yeyote basi sheria zinataka ndege itue uwanja wa karibu na sheria za nchi husika zifuatwe.

Nina imani sijakosea nilichosema, Though nilisoma hizo kitu but I'm a bit rusty sababu sipo kwenye hiyo industry kwa miaka sasa.
 
Pasi ya kusafiria ya zamani mbona, mtoa taarifa za vifo jf aje athibitishe.
Kwa hiyo kama alikua anakaa huko, mimi nna ndugu China mwaka wa 4 sasa hajarudi. Kingine ujue kua kuna utaratibu upo wa kupata passport mpya kwenye ubalozi ulio karibu nawe kama upo nje ya nchi. Mfano kuna wtz wapo China hawajarud na walishapata passport zao. So kuna uwezekano mwanadada alikua hajaenda kubadili passport. Mfano rahis tu kuna waongo had leo hawajaenda nida.

Kingine ujue kua huwezi kumzuia mtanzania kurud nyumbani hasa kipindi hiki cha corona kisa tu ana passport ya zamani.

Mwisho kabisa tusikalili kua wewe kama una uwezo kusafiri kwenda China au sehemu yoyote ile ukakaa wiki ukarudi Bongo ukadhani wengine hawawezi kaa miaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi Paspoti zimekoma kutumika tarehe 31 January 2020. Ni sheria za kimataifa Paspoti inayotumika uwekwa wazi katika mataifa yote. Mie nilipotaka safiri nikiwa moja ya nchi za Ulaya mnamo mwezi wa kwanza nilikataliwa kwasababu paspoti nilikuwa sijabadili. Nilishauriwa nibadili passport nipate mpya zilizobadilishwa kwani nilikuwa naelekea bara lingine tena.
Kama aliishi muda huko india na hakuwa kabadili paspoti uweza kupewa hati ya dharura ya kusafiria kurudi chini mwake na hutolewa ubalozini. Hivyo hizi hazitumiki kabisa. Isipokuwa pengine alikuwa na hii hati ya zamani na hati ya dharura ya kusafiri. Ambayo ni karatasi si kitabu. Hivyo ktk kuchunguza wakapata hii Kwa haraka na majina ni yaleyale so wanaipiga picha. Hii paspoti itaonesha uzuri zaidi kuliko karatasi. Pia hata mtu akifia ktk bus, ikiwa safarini utakiwa bus hilo kuhifadhi mwili hospitali ktk sehemu watakayoona karibu. Baadae ndugu ujulishwa. Hata katika ndege, yaweza tuwa Kwa dharura uwanja wa karibu ili kuhifadhi mwili kuliko kuuwaacha abiria wengine wakiwa wanautazama.
 
Mtanzania ambaye passport yake imewekwa hapa amefariki akiwa njiani kuja Tanzania kutoka India. Aliugua ghafla akiwa Dubai na amezikwa huko huko. Ni kwenye ile ndege yetu iliyoenda kuwachukua.
View attachment 1455072

Mkuu Passport za 2014 zilisha ondolewa kwenye matumizi. Kulikoni huyu akaweza kuitumia bado kusafiria nje ya mipaka ya Tanzania?
 
Fake news! ! Ndege inaruka moja kwa moja mpaka dar. Au unasema ilifanya emergency landing Dubai. And show us the proof! ! Kwamba ilifanya hiyo emergency landing.

Sent using Jamii Forums mobile app
mnafaidika nini mnavyobisha mmechukua tabia za baba yenu kuktaa watu kup
mena.JPG
eana info iwe kwa magonjwa mengine au corona ila dada wa watu keshazikwa dubai u dikteta wenu hausaidii nyie kaiageni corona jumapili na bashite wenu
 
Back
Top Bottom