Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

Mkuu hizo pasi ziliacha kutumika toka mwaka jana nadhani,tuna pasipoti mpya,halafu air Tanzania uwa haina kituo ikiruka dar ni mumbai moja kwa moja,sasa dubai ilienda kufanya nini na ikiwa hata dubai airport kesho 21 may ndio inafunguliwa tena kwa baadhi ya route tu
sawa kabisa na kama ni covid haina shida sana sababu huku kuna maombi kwa hiyo kama aliambukiza watu hawataingia nayo huku maan tulishaishinda
mena.JPG
 
RIP mtanzania mwenzetu. Ina maana ile kauli ya Mh. Rais ya kuwasitiri wenzetu katika makao ya milele sehemu za asili au makaazi yao Tanzania bado haitekelezeki.

Maana ingewezekana kabisa maiti iletwe Tanzania kufuatana na taratibu za IATA na kama kweli alifia akiwa angani ndani ya ATCL..
Dah waTZ wajuaji bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe boya hizo buku 7 ndo upandie ndege au mmehaidiwa kwenda kusafisha macho baada ya kupost makorokocho humu ndani,ma inzi ya chooni ya lumumba, hopeless fools
View attachment 1455373
Mkuu tuliza akili na usome tena hiyo habari.
Huyu binti alilazwa hapo Dubai December 2019.
Mleta mada anasemaalifia kwenye ndege.
Huoni tofauti hapo?!

Siasa zimetupiga upofu!
 
Mnagombania mirathi au? Hii si ni habari ya msiba,tuomboleze then maisha yaendelee..
 
Uliposema ni 'fake news', nilidhani unafahamu ukweli, kumbe ukaendelea kuuliza
Matumizi ya hiyo passport ya zamani ilikuwa mwisho January 2020... asingeweza kusafiri na passport hiyo baada ya January 2020...

Inawezekana kifo chske kimetokea, lakini si kama ilivyoelezwa na mtoa mada...
 
Mbona Pass ya zamani hii amabyo sasa haitumiki au nieona vibaya
... most likely, I guess, alikuwa huko may be kimasomo kabla passport mpya hazijaanza kutumika. May be ndio alikuwa amemaliza chuo anarudi nyumbani, may be!
 
Ebwana mimi naweza amini maana hiyo Passport haitumiki tena yeye kawezaje kutumia kwenda mpaka India huu ni uongo
... inawezekana alishakuwa India long before kabla ya passport mpya kuanza kutumika. Suppose, alikuwa huko kimasomo 3 yrs degree? May be lakini, not sure!
 
Jamani sheria ipo wazi ukifia angani tunacheki uwanja uliokaribu tunashuka kuweka utaratibu hapo. Ni kama kwenye basi zinazoenda mkoani vile huwezi beba maiti hadi bukoba wakati imefia mogogoro
 
Watu wajifunze kusoma comment kuna marudio ya vitu vinaulizwa wakati ufafanuzi ushatolewa ....... mnatuchosha acha kukurupuka na heading tu.
 
Back
Top Bottom